Kuji ateuliwa Kamishna TANAPA

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Uteuzi wa bosi wa Mwendokasi watenguliwa

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu waWakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), akichukua nafasi ya Dkt. Edwin Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.Dkt. Kihamia aliwahi kuwa...

Hospitali ya bilioni 32 yafunguliwa Zanzibar

0
Rais Samia amefungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi (Lumumba), Zanzibar leo ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar.Ujenzi wa hospitali hiyo...

Mbunge apiga magoti kuomba maji

0
Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuidhinisha kuanza kwa utekelezaji wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Halmashauri ya Ushetu, hatua ambayo amesema itawasaidia wananchi ambao wanakumbana...

Aweso: Msimamishe kazi afisa manunuzi Lindi

0
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemulekeza Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof.Jamali Katundu amsimamishe kazi Afisa Manunuzi wa Wakala ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Lindi, Kennedy Mbagwa, kwa kushindwa...

SGR Tanzania hadi Burundi ipo hatua za manunuzi

0
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza-Msongati - Gitega (Burundi) umefikia hatua ya manunuzi.Waziri Mbarawa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa katika mkutano wa wakandarasi...

Ekari 100 zatengwa kwa waathirika wa Hanang

0
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda ametembelea na kukagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kuhamishia waathirika wa maporomoko ya tope wilayani Hanang, mkoani Manyara.Jumla ya ekari 100 kutoka Jeshi...

TBC kukuletea mbashara uzinduzi wa Ruangwa FM

0
Timu ya watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ipo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya kukuletea mbashara uzinduzi wa kituo cha redio, Ruangwa FM, Januari 6, 2024.Kituo hicho cha redio kimeboreshwa kwa...

Dkt. Semesi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu NEMC

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).Kabla ya uteuzi huo Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa...

Serikali kusambaza vifaa tiba vya zaidi bilioni14.9

0
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua usambazaji wa vifaa tiba (nje ya vilivyopangwa kununuliwa kwenye Bajeti ya 2023/24) vitakavyosambazwa katika majimbo yote 214 nchini Tanzania.Waziri Ummy amezindua usambazaji wa vifaa hivyo leo jijini Dares...