Zingatieni sheria ya vipimo

0
Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mbeya, Abogastin Kajungu amesema bado wananchi wengi mkoani humo hawatii sheria inayozuia vipimo vilivyopigwa marufuku kutumika kwa ajili ya kuuzia na kununulia bidhaa.Kajungu ametoa kauli hiyo muda...

Wafungwa kwa kutuma watoto kuombaomba

0
Mahakama nchini Uganda imewahukumu zaidi ya wanawake 100 kifungo cha nje cha mwezi mmoja kila mmoja huku wakitakiwa kufanya kazi za kijamii baada ya kukiri kuwatuma watoto wao kuombaomba katika Jiji la Kampala.Mahakama pia...

Bashungwa atangaza vita na makandarasi wazembe

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuwachukulia hatua mameneja wa mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kusababisha...

Monduli wajipanga kudhibiti Hiace, bodaboda

0
Jeshi la Polisi Wilaya ya Monduli kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya hiyo, wamepanga kukutana na madereva wa magari yanayofanya biashara ya kusafirisha abiria (Hiace) ili kuweka utaratibu mzuri wa kufuata zamu.Mkuu wa Polisi...

Simamieni majukumu ipasavyo

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka watendaji wa ngazi zote serikalini kusimamia kikamilifu majukumu yao ili kujenga uchumi imara kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo wakati...

Mpango: Hati hii fungani Tanga ni ya kihistoria

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amezindua rasmi Hati Fungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 50 akisema ni ya kihistoria.Akizungumza katika uzinduzi huo, Dkt. Mpango...

Miradi ya maji Tanga sasa kujiendesha

0
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji, Nicodemas Mkama amesema hati fungani inayozinduliwa leo inakwenda kusaidia miradi ya maji Tanga kujiendesha yenyewe.Amebainisha hayo katika hafla ya Uzinduzi wa Hati Fungani ya Kijani ya...

Sukari kuendelea kuagizwa kufidia upungufu

0
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa mwaka huu Serikali itaingiza nchini zaidi ya tani laki tatu za sukari ili kukabilana na upungufu wa sukari nchini.Amesema hadi kufikia Machi 15, 2024, tani 60,000 za...

Bilioni 50 kumaliza changamoto ya maji Tanga

0
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amesema uchumi wa Mkoa wa Tanga umekua kutoka shilingi trilioni 4 hadi trilioni 7.9 ndani ya kipindi cha miaka minne kutokana na mazingira mazuri ambayo serikali imeendelea...

Takwimu za sensa ni muhimu kwa maendeleo

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema matokeo ya sensa ni muhimu kwa mipango ya maendeleo.Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika hafla ya ufunguzi wa usambazaji na...