BRELA, TBS, WMA watakiwa kufanya ukaguzi

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameiagiza Mamlaka ya Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo (WMA) kupita kwenye viwanda vyote vinavyozalisha bidhaa za...

Tanzania kuendelea kushirikiana na AMCHAMTZ

0
Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na Chemba ya Wafanyabiashara wa Marekani na Tanzania (AMCHAMTZ) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) ili kufanikisha malengo ya AMCHAMTZ.Kauli hiyo imetolewa mkoani Dar es Salaam na...

Uwekezaji hospitali ya Tumbi waboresha huduma

0
ganga Mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Pwani, Tumbi Dkt. Aman Malima ameishukuru Serikali kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanyika hospitalini hapo ambao unewezesha upatikanaji wa huduma bora kwa Wananchi.Dkt. Malima amesema hayo alipokuwa...

Zingatieni sheria ya vipimo

0
Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mbeya, Abogastin Kajungu amesema bado wananchi wengi mkoani humo hawatii sheria inayozuia vipimo vilivyopigwa marufuku kutumika kwa ajili ya kuuzia na kununulia bidhaa.Kajungu ametoa kauli hiyo muda...

Wafungwa kwa kutuma watoto kuombaomba

0
Mahakama nchini Uganda imewahukumu zaidi ya wanawake 100 kifungo cha nje cha mwezi mmoja kila mmoja huku wakitakiwa kufanya kazi za kijamii baada ya kukiri kuwatuma watoto wao kuombaomba katika Jiji la Kampala.Mahakama pia...

Bashungwa atangaza vita na makandarasi wazembe

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuwachukulia hatua mameneja wa mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kusababisha...

Monduli wajipanga kudhibiti Hiace, bodaboda

0
Jeshi la Polisi Wilaya ya Monduli kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya hiyo, wamepanga kukutana na madereva wa magari yanayofanya biashara ya kusafirisha abiria (Hiace) ili kuweka utaratibu mzuri wa kufuata zamu.Mkuu wa Polisi...

Simamieni majukumu ipasavyo

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka watendaji wa ngazi zote serikalini kusimamia kikamilifu majukumu yao ili kujenga uchumi imara kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo wakati...

Mpango: Hati hii fungani Tanga ni ya kihistoria

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amezindua rasmi Hati Fungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 50 akisema ni ya kihistoria.Akizungumza katika uzinduzi huo, Dkt. Mpango...

Miradi ya maji Tanga sasa kujiendesha

0
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji, Nicodemas Mkama amesema hati fungani inayozinduliwa leo inakwenda kusaidia miradi ya maji Tanga kujiendesha yenyewe.Amebainisha hayo katika hafla ya Uzinduzi wa Hati Fungani ya Kijani ya...