Nishati chafu yasababisha vifo Mil 2

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema zaidi ya watu Milioni mbili hufariki dunia kila mwaka duniani kote kutokana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia.Jafo...

Somanga kwaanza kupitika

0
Wizara ya Ujenzi na timu ya wataalam kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakishirikiana na makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa miundombinu ya barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika katika Barabara...

Tutasimamia biashara ya mazao ya mifugo

0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema wizara yake imejipanga kuyasimamia vema mazao ya mifugo hususan maziwa, nyama na ngozi ili yazalishwe kwa ubora na kushamirisha biashara kwa lengo la kuyafanya mazao hayo...

Miaka 62 ya Red Cross katika jamii

0
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki katika maadhimisho ya miaka 62 ya kazi ya kuhudumia watanzania inayofanywa na Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), yatakayofanyika Mei 11, 2024 mkoani Dodoma.Siku hiyo pia itatumika kutambua...

Kamilisheni mchakato wa kupata ISO

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mary Maganga ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa...

TET yatoa mafunzo kuhusu mtaala ulioboreshwa

0
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inaendelea kutoa mafunzo kwa walimu wakuu wa shule za msingi za Serikali na zisizo za Serikali, kwa lengo la kuwajengea uelewa wa...

Idris kwenye Bridgerton Premiere

0
Mwonekano wa @idrissultan kwenye onyesho la kwanza 'Premiere' ya “Bridgerton” Season 3 nchini Afrika Kusini.Bridgerton ni filamu ya kihistoria ya mapenzi kutoka Marekani iliyopikwa na Chris Van Dusen kwa ajili ya Netflix.Chris Van Dusen...

Dkt. Msonde awapa somo walimu

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia kanuni ya kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na watumie nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi kuelewa...

Msimtenge Rais Samia

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amesema mtu yeyote asijaribu kumtenga Rais Samia Suluhu Hassan na watanzania kwa kutoa kauli za kiuchochezi ikiwemo ile ya kwamba Rais ni Mzanzibar.Kinana amesema...

Vyama vije na hoja za kujenga nchi

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana ametoa rai kwa Watanzania kukataa maneno ya uchonganishi na ya kufarakanisha, kwani ndio njia sahihi ya kuuenzi Muungano na waasisi wake.Kinana ameyasema hayo mkoani...