Misaada yaendelea kutolewa Indonesia

0
Misaada mbalimbali imeendelea kutolewa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi  na tetemeko la chini ya bahari – Tsunami nchini Indonesia.Misaada hiyo ambayo ni pamoja na ile ya chakula, maji na mafuta ya kula inasambazwa...

Mukwege na Nadia washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel

0
Denis Mukwege ambaye ni dakatri wa wanawake wa masuala ya uzazi kutoka Jamhuri ya Kidemokarasi ya Kongo na Nadia Murad ambaye ni mwanaharakati kutoka nchini Iraq wametangazwa  kuwa washindi wa Tuzo ya Amani ya...

Korea Kaskazini kuzima moja ya mitambo yake ya nyuklia

0
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa Rais Kim Jong-un wa Korea Kaskazini amekubali kuzima moja ya mitambo yake mikubwa ya nyuklia na majaribio ya makombora.Amesema kuwa Rais Kim amekubali kuzima kabisa mtambo...

Viwango vya ubora vya FIFA kwa timu za wanaume

0
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali...

Shambulio la kujitoa muhanga lasababisha shule kuporomoka

0
Kumetokea shambulio la kujitoa muhanga katika ofisi moja ya serikali kwenye mji mkuu wa Somalia, - Mogadishu na kusababisha shule iliyokuwa karibu na ofisi hiyo kuporomoka.Mtu aliyekua kwenye gari amejilipua katika eneo...

Marekani yafuta msaada wa kijeshi kwa Pakistan

0
Marekani imetangaza kufuta msaada wa Dola Milioni 300 za Kimarekani kwa Pakistan kwa madai kuwa nchi hiyo imeshindwa kuyachukulia hatua makundi ya wanamgambo.Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Marekani imesema kuwa nchi hiyo itatumia...

Mazungumzo ya simu kuhusu Kashoggi yanaswa

0
Baadhi ya majarida nchini Marekani yameandika habari inayosema kuwa Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia, - Mohammed bin Salman aliwahi kuiambia Marekani kuwa mwandishi wa habari wa Saudi Arabia aliyeuawa Jamal Khashoggi ni mwanachama...

Kifaa cha kuwasaidia waliopooza chagunduliwa

0
Wanasayansi nchini Uswisi wamegundua kifaa maalum kinachotumia umeme ambacho kinatarajiwa kuwasaidia watu waliopooza viungo mbalimbali vya mwili hasa uti wa mgongo kupona na kurejea katika hali ya kawaida.Kifaa hicho kina uwezo wa kusisimua misuli...

Waandishi wa habari Myanmar wahukumiwa kifungo jela

0
Mahakama nchini Myanmar imewahukumu waandishi wa habari wawili wa shirika la habari la Reuters kifungo cha miaka Saba jela kila mmoja kwa kosa la kufanya uchunguzi wa siri nchini humo kuhusu mgogoro wa Rohingya.Waandishi...

Waliosombwa na maji Myanmar waendelea kuokolewa

0
Waokoaji nchini Myanmar wanaendelea na zoezi la kuwaokoa watu waliosombwa na maji baada ya bwawa moja kubwa nchini humo kupasuka na maji yake kusambaa hovyo hadi katika makazi ya watu.Zaidi ya watu Sitini Elfu...