Iran yapingana na Marekani kuhusu vikwazo

0
Marekani imesema kuwa mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu wa kivita haina uwezo wa kusikiliza kesi ya madai ya kuzuia vikwazo ambavyo nchi hiyo imeiwekea Iran.Iran inataka kuwasilisha madai yake kwenye mahakama hiyo...

Syria yashutumiwa kutumia silaha za kemikali

0
Balozi wa Marekani nchini Syria, - Jim Jeffrey amesema kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa vikosi vya serikali ya Syria vinajiandaa kutumia silaha za kemikali katika mji wa Idlib.Kauli ya Jeffrey inaelekea kufanana na...

Mwili wa Annan waagwa Accra

0
Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan unaagwa leo katika mji mkuu wa Ghana, Accra.Mwili wa Annan uliwasili Jumatatu jioni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ulioko mjini Accra...

Kimbunga Jebi chaikumba Japan

0
Watu kumi wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kimbunga Jebi kuyakumba maeneo mbalimbali nchini Japan.Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Japan imesema kuwa kimbunga hicho ni kibaya kuwahi kutokea nchini...

Pompeo afanya ziara Pakistan

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, -Mike Pompeo amefanya ziara ya siku moja nchini Pakistan, ziara yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili.Katika ziara hiyo Pompeo alitarajiwa kukutana na viongozi wa...

Ajali ya ndege yaua 19 Sudan Kusini

0
Watu 19 wamekufa baada ya ndege ndogo ya abiria kuanguka kwenye ziwa Yirol wakati ikijaribu kutua huko Sudan Kusini.Watu wanne tu, wawili wakiwa watoto wamenusurika katika ajali hiyo.Habari kutoka Sudan Kusini zinasema kuwa wakati...

Miili ya waliouawa yarudishwa Namibia

0
Serikali ya Ujerumani imerudisha mabaki ya miili ya watu wa kabila la Horero kutoka nchini Namibia waliouwa na wakoloni wa Kijerumani katika harakati za kugombea haki nchini mwao wakati wa utawala wa kikoloni.Wanaharakati nchini...

Misaada yaendelea kutolewa Indonesia

0
Misaada mbalimbali imeendelea kutolewa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi  na tetemeko la chini ya bahari – Tsunami nchini Indonesia.Misaada hiyo ambayo ni pamoja na ile ya chakula, maji na mafuta ya kula inasambazwa...

Pacha watano wazaliwa Afrika Kusini

0
Pacha watano wamezaliwa karibu na mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini.Watoto hao wamezaliwa katika wiki ya 30 ikiwa ni mapema kwa wiki 10.Habari kutoka nchini Afrika Kusini zinasema hao ni pacha wa tano kuzaliwa...