Mnangagwa aapishwa

0
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe anayeungwa mkono na jeshi la nchi hiyo ameapishwa kuongoza Taifa hilo baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Julai mwaka huu.Rais Mnangagwa ameapishwa na Mwanasheria Mkuu wa...

Scott Morrison Waziri Mkuu mpya Australia

0
Chama cha Liberal nchini Australia kimemteua Scott Morrison kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Malcolm Turnbull ambaye ameondolewa kwa lazima na chama chake.Kutokana na mzozo wa uongozi ndani...

Tanzania na Uganda zanufaika na ushirikiano

0
Tanzania na Uganda zimepata mafanikio makubwa kupitia mikutano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) iliyofanyika jijini Arusha mwezi Aprili mwaka huu na ule uliofanyika mjini Kampala nchini Uganda na...

Trump asisitiza kutovunja sheria

0
Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa kwa siri kwa wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa na uhusiano naye hayakuvunja sheria ya fedha za kampeni za uchaguzi mwaka 2016.Trump amekana tuhuma...

Bobi Wine afutiwa mashitaka

0
Serikali ya Uganda imemfutia mashitaka yaliyokua yakimkabili Mbunge wa jimbo la Kyadondo - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini humo leo Agosti 23 alitarajiwa kurudishwa katika...

Tanzania Makamu Mwenyekiti mpya wa SADC

0
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika rasmi tarehe 18 Agosti katika mji wa Windhoek nchini Namibia kwa kumteua Rais John ...

Kofi Annan afariki dunia

0
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia.Habari zinasema kuwa Annan amefariki dunia katika hospitali moja nchini Switzerland alipokua akipatiwa matibabu baada ya kuugua gafla.Amefariki akiwa na umri...

Macron ampa uraia mhamiaji aliyemuokoa mtoto aliyekuwa akining’inia ghorofani

0
Mtoto wa miaka minne akining'inia kutoka ghorofa ya nne kabla hajaokolewa na mhamiaji kutoka nchi ya Mali Mamoudou Gassama (22). Picha ya pili Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akizungumza na Gassama leo Jumatatu Mei...

Volkano yalipuka tena Guatemala

0
Kwa mara nyingine serikali ya Guatemala imewahamisha watu wanaokaa karibu na mlima wenye volkano hai wa Fuego nchini humo baada ya mlima huo kulipuka tena kwa mara ya pili wiki hii.Hadi sasa watu 75...

Korea Kaskazini yamuita makamu wa Trump ‘mpumbavu’, mkutano Juni 12 bado njiapanda

0
Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence (Picha na REUTERS)Vita ya maneno inaendelea kati ya maofisa wa Korea Kaskazini na Marekani ambapo katika hatua ya hivi karibuni ofisa mmoja wa ngazi za juu katika...