Trump asisitiza kutovunja sheria

0
Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa kwa siri kwa wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa na uhusiano naye hayakuvunja sheria ya fedha za kampeni za uchaguzi mwaka 2016.Trump amekana tuhuma...

Bobi Wine afutiwa mashitaka

0
Serikali ya Uganda imemfutia mashitaka yaliyokua yakimkabili Mbunge wa jimbo la Kyadondo - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini humo leo Agosti 23 alitarajiwa kurudishwa katika...

Tanzania Makamu Mwenyekiti mpya wa SADC

0
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika rasmi tarehe 18 Agosti katika mji wa Windhoek nchini Namibia kwa kumteua Rais John ...

Kofi Annan afariki dunia

0
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia.Habari zinasema kuwa Annan amefariki dunia katika hospitali moja nchini Switzerland alipokua akipatiwa matibabu baada ya kuugua gafla.Amefariki akiwa na umri...

Macron ampa uraia mhamiaji aliyemuokoa mtoto aliyekuwa akining’inia ghorofani

0
Mtoto wa miaka minne akining'inia kutoka ghorofa ya nne kabla hajaokolewa na mhamiaji kutoka nchi ya Mali Mamoudou Gassama (22). Picha ya pili Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akizungumza na Gassama leo Jumatatu Mei...

Volkano yalipuka tena Guatemala

0
Kwa mara nyingine serikali ya Guatemala imewahamisha watu wanaokaa karibu na mlima wenye volkano hai wa Fuego nchini humo baada ya mlima huo kulipuka tena kwa mara ya pili wiki hii.Hadi sasa watu 75...

Korea Kaskazini yamuita makamu wa Trump ‘mpumbavu’, mkutano Juni 12 bado njiapanda

0
Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence (Picha na REUTERS)Vita ya maneno inaendelea kati ya maofisa wa Korea Kaskazini na Marekani ambapo katika hatua ya hivi karibuni ofisa mmoja wa ngazi za juu katika...

ICC yatengua hukumu ya Bemba

0
Hukumu ya Bemba yatenguliwaMahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai -ICC imetengua hukumu dhidi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Jean-Pierre Bemba, kwa makosa ya uhalifu wa kivita yaliyofanywa...

Kim na Trump tayari kwa mkutano

0
Hoteli ya Capella iliyoko Singapore ambako mazungumzo kati ya Rais Trump wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un watafanya mazungumzo yao kesho JumanneVyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema Kiongozi wa...

Trump na Kim wazungumza

0
Rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wamekutana katika mazungumzo ya kihistoria, ambapo ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa serikali ya Marekani na wa Korea Kaskazini walioko madarakani...