Marc Anthony kupata mtoto wa 7

0
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Salsa kutoka nchini Marekani, Marc Anthony (54) na mkewe Nadia Ferreira (23) ambao wamefunga ndoa wiki mbili zilizopita, jana wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.Marc Anthony ambaye...

Rihanna atarajia mtoto wa pili

0
Mwanamuziki maarufu wa nchini Marekani, Robyn Rihanna Fenty maarufu Rihanna na mpenzi wake ambaye ni Rapa A$AP Rocky wanatarajiwa kupata mtoto wao wa pili.Rihanna anatarajiwa kupata mtoto huyo wa pili ikiwa imepita takribani miezi...

AKA auawa kwa risasi Afrika Kusini

0
Rapa AKA wa Afrika Kusini amefariki dunia kwa kupigwa risasi muda mfupi kabla ya kutumbuiza jijini Durban.AKA ambaye jina lake halisi ni Kiernan Forbes ameuawa kwa kufyatuliwa risasi kutoka kwenye gari akiwa amesimama nje...

Beyoncé avunja rekodi ‘ni historia’

0
Mwimbaji, mwandishi wa nyimbo na dansa, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kutoka nchini Marekani amekuwa msanii wa kwanza kutunzwa zaidi katika historia ya tuzo za Grammy.Mpaka sasa Beyoncé ameshinda mara 32 katika tuzo hizo.Tuzo iliyomweka Beyoncé...

Mambo yaliyozingatiwa kuchagua vazi la Taifa

0
Kamati inayoshughulikia mchakato wa upatikanaji wa vazi la Taifa imeongezea wazo la kamati iliyopita la kupatikana kwa kitambaa na kutaka kuwepo pia kwa mshono wa Taifa ili kuongeza wigo mpana wa machaguzi ya wananchi.Mwenyekiti...

Nandy atambulisha msanii mpya

0
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @OfficialNandy amemtambulisha rasmi msanii wake mpya ‘Yammi’ kwenye Record Lebo yake ‘The African Princess’, ambayo lengo lake ni kuinua vipaji vya wasichana tu.Yammi ametambulishwa na ujio wa...

Shishi Food Dar yafungwa

0
Msanii na mfanyabiashara Zuena Mohamed maarufu Shilole ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa Shishi Food amesema, mgahawa wa Dar es Salaam umesimamisha shughuli zake za kutoa huduma ya chakula na...

Tyrese aimwagia sifa Zanzibar

0
Kupita ukurasa wake wa Instagram mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Tyrese Gibson amemwaga sifa za uzuri wa Zanzibar.“Tafuteni kwenye google, hii sehemu ya kustaajabisha inaitwa ZANZIBAR, inapatikana sehemu ya Africa iitwayo TANZANIA,...

Nandy azindua Record Label

0
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva @OfficialNandy ametambulisha rasmi Record Label yake ‘The African Princess’, ambayo ameeleza lengo lake ni kuinua vipaji vya watoto wa kike tu.“Ninayo furaha kubwa kuileta kwenu Rasmi THE...

Ben Pol aomba radhi

0
Msanii wa Bongofleva Ben Pol ameomba radhi kupitia ukurasa wake wa Instagram kutokana na maneno aliyoyasema kuhusu ndoa yake, wakati wa mfululizo wa mahojiano maalum na mtangazaji MillardAyo yaliyoanza kutangazwa tarehe 13 mwezi huu.Wakati...