Tuzo ya ubinafsi kwa TEMS

0
Mwanamuziki Temilade Openiyi maarufuTEMS wa nchini Nigeria amelalamikiwa na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa tuzo za Oscars, baada ya kuvaa pambo kubwa kichwani lililowaziba wengine wasione yanayoendelea na hivyo kuzua gumzo mitandaoni.Mwanamuziki...

Wakongwe wa Taarab kuchangia watoto njiti

0
Wanamuziki wakongwe katika tasnia ya muziki wa Taarab hapa nchini wanatarajia kufanya tamasha kubwa lililopewa jina la Raha za Pwani 2023, kuchangia vifaa kwa ajili ya watoto njiti visiwani Zanzibar.Wasanii hao wakiongozwa na Khadija...

Selena Gomez ampindua Kylie

0
Mwanamuziki na Mwigizaji Selena Gomez mwa nchini Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia 'Guiness World Record' kwa mara nyingine tena baada ya kumpindua mwanamitindo Kylie Jenner wa nchi hiyo na kuwa mwanamke mwenye wafuasi...

Kiki za malkia wa Sungura

0
Wewe kama unadhani kiki zilianza jana au juzi, mpwa unajidanganya.Kiki zilianza karne nyingi nyuma na pengine hujawahi kumsikia Malkia wa Sungura, Mama aliyefanikiwa kuingia kwenye rekodi ya dunia kwa kusuka mkasa wa kipekee.Anaitwa Mary...

‘Blueticks’ kulipiwa

0
Wapenda mitandao ya kijamii na watu mashuhuri wengi wamefikia nafasi ya kuwa na wafuasi wengi na maudhui yanayopendwa na wengi, hivyo kuwafanya kupata 'verification' ya tiki ya bluu.Mkurugenzi Mtendaji wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza...

Buti za laki 8

0
Buti za 'Big Red Boot' (BRB) zilizozusha gumzo kwenye mitandao ya kijamii kutokana na bei yake kuwa kubwa ikilinganishwa na muonekano wake zimeisha madukani siku tatu tu tangu zianze kuuzwa rasmi.Buti hizo za chapa...

Ngoma mpya ya AKA yaachiwa

0
Wimbo wa mwisho wa Rapa Kiernan Jarryd Forbes maarufu AKA wa Afrika Kusini aliyefariki dunia Februari 10 mwaka huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana umeanza kupigwa usiku wa kuamkia hii leo.Familia ya...

Mtoto wa Rihanna ndani ya Vogue

0
Mtoto wa kiume wa waimbaji maarufu Robyn Rihanna Fenty maarufu Rihanna na Rakim Athelaston Mayers maarufu A$AP Rocky wa nchini Marekani, anaungana na wazazi wake kwenye 'cover' ya jarida maarufu la British Vogue la...

Marc Anthony kupata mtoto wa 7

0
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Salsa kutoka nchini Marekani, Marc Anthony (54) na mkewe Nadia Ferreira (23) ambao wamefunga ndoa wiki mbili zilizopita, jana wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.Marc Anthony ambaye...

Rihanna atarajia mtoto wa pili

0
Mwanamuziki maarufu wa nchini Marekani, Robyn Rihanna Fenty maarufu Rihanna na mpenzi wake ambaye ni Rapa A$AP Rocky wanatarajiwa kupata mtoto wao wa pili.Rihanna anatarajiwa kupata mtoto huyo wa pili ikiwa imepita takribani miezi...