BASATA yawafungia Diamond na Rayvan

0
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA ) limewafungia kwa muda usiojulikana wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Nassib Abdul maarufu kama Diamond na Raymond Mwakyusa maarufu kama Rayvan kufanya onesho lolote ndani na...

Myanmar kuridhia uwepo wa Casino

0
Nchi ya Myanmar iko katika hatua za mwisho za kuridhia maeneo ya starehe maarufu kama Casino, ambako vitendo mbalimbali vinavyowahusu watu wazima peke yako vinaruhusiwa kufanyika.Awali maeneo ya Casino yalikuwa ni marufuku nchini humo,...

China kupiga stop harusi za kifahari

0
China ina mpango wa kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya hivi karibuni.Taarifa iliyotolewa na serikali ya China imesema kuwa harusi nyingi zinazofanyika nchini humo hivi sasa zimekua sio...

Watanzania wasisitizwa kuthamini utamaduni

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ameendelea kusisitiza kuwa lugha ni kielelezo na sehemu muhimu ya utambulisho wa Taifa lolote duniani.Dkt Mwakyembe ametoa kauli hiyo jijini Dodoma katika hafla ya...

Wimbo wa Mwanza wapigwa stop na BASATA

0
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA ) limeufungia rasmi wimbo unaojulikana kama Mwanza ulioimbwa na msanii wa lebo ya Wasafi, -Raymond Mwakyusa maarufu kama Rayvanny na kumshirikisha mwanamuziki mwenzake Naseen Abdul maarufu kama Diamond...

Miss Tanzania kutumia lugha ya kiswahili

0
Mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2018 Queen Elizeberth Makune amesema kuwa atatumia lugha ya kiswahili kwenye shindano la kumtafuta mrembo wa dunia pamoja na kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii ili kuwavutia watalii wengi kutoka...

Wema afikishwa mahakamani

0
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam kusomewa makosa yanayomkabili ya kusambaza picha zisizo na maadili kwenye mitandao ya kijamii.Habari zinasema kuwa Wema amefikishwa...

Cosby ahukumiwa kifungo jela kwa udhalilishaji

0
Mahakama moja huko Pennsylvania nchini Marekani imemuhukumu kifungo cha kati ya miaka mitatu na kumi jela mchekeshaji Bill Cosby kwa kosa la udhalilishaji.Cosby mwenye umri wa miaka 81, pia ameorodheshwa kuwa mtu mwenye tabia...

Makamu wa Rais ataka bajeti kuadhimisha urithi wetu

0
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza wakuu wa mikoa nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kuadhimisha tamasha la urithi wetu ngazi ya mkoa ifikapo mwezi Septemba kila mwaka.Amesema hayo katika uzinduzi wa tamasha...

Queen Elizabeth Miss Tanzania 2018

0
Mrembo Queen Elizabeth Makune ambaye ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo cha Uhasibu kutoka jijini Dar es salaam amevikwa Taji la Miss Tanzania baada ya kuwabwaga warembo wengine katika shindano lililofanyika Septemba...