Koffi ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

0
Nyota wa muziki wa mtindo wa rumba na soukous, -Koffi Olomide amepatikana na hatia ya udhalilishaji wa mmoja wa wanengeuaji wake, wakati mnenguaji huyo akiwa na umri wa miaka Kumi na mitano.Mahakama...

Wema aachiwa kifungoni

0
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amewaomba wasanii nchini kufanya kazi zao kwa weledi ili waendelee kuwa kioo cha jamii.Wema ameyasema hayo jijini Dar es salaam baada ya kuondolewa adhabu yake ya kutofanya kazi za sanaa, adhabu iliyotolewa...

Wasanii wa Tanzania waendelea kufanya Vizuri Kimataifa

0
Wasanii wanne watanzania wanatarajia kushiriki katika msimu wa Coke Studio mwaka 2019 unaowashirikisha wasanii mbalimbali wenye vipaji barani Afrika na kuonyesha uwezo wao katika tasinia ya burudani.Hayo yamebainishwa na mkuu wa kitengo cha masoko...

Wanamuziki wamlilia Godzilla

0
Wasanii mbalimbali wa muziki nchini wameendelea kutoa pole kufuatia kifo cha  Mwanamuziki wa miondoko ya Hip Hop nchini Golden Mbunda maarufu kama Godzilla aliyefariki dunia ghafla usiku wa Jumatano Februari 13 mwaka huu  nyumbani kwao Salasala jijini Dar...

NYOSHI EL SADAAT WASANII TUNAPATA ELFU 30 KWA SHOW

0
https://www.youtube.com/watch?v=nsfwOaRT3y0&t=20s

RC MAKONDA : KAMA HARMONIZE ANATUMIA BANGI AKIRUDI ATASUKUMWA NDANI

0
https://www.youtube.com/watch?v=NNQwrd6OGxU

Basata yakanusha kuwafungulia wasanii Diamond na Rayvan

0
Baraza la Sanaa la Taifa(Basata) limekanusha kuwafungulia wasanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnamz na Raymond Mwakyusa maarufu kama Rayvan kufanya maonesho ndani na nje ya nchi .Taarifa iliyosambazwa...