Tuzo za Grammy mwaka 2022 zaahirishwa

0
Hafla ya 64 ya utoaji wa Tuzo za Grammy ambayo ilikuwa imepangwa kufanyika Januari 31 mwaka huu nchini Marekani imeahirishwa kutokana na janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19), waandaaji wameeleza.Taarifa ya waandaji...

Bruce Willis aachana na filamu

0
Familia ya mcheza filamu wa Marekani Bruce Willis imetangaza kuwa mwigizaji huyo mwenye umri wa miaka 67 anastaafu kuigiza filamu za kulipwa baada ya kubainika kuwa na Aphasia, ambayo ni changamoto ya matamshi inayosababishwa...

Justin Bieber afichua kuugua ugonjwa kupooza uso

0
Mwanamuziki raia wa Canada, Justin Bieber (28) amefichua kuwa anaugua ugonjwa wa kupooza usoni baada ya matamasha yake kuahirishwa wiki hii.Justin amethibitisha hayo kwenye video fupi katika ukurasa wake wa Instagram ambao una...

Baa ya vioo inayoning’inia kwenye korongo

0
Huenda ukahitaji kinywaji kabla hata ya kufika kwenye baa ama kusimuliwa kuhusu baa ya maajabu iliyopo huko nchini Georgia.Ni kwamba baa hiyo yenye umbo la almasi imejengwa katikati ya daraja la vioo lenye urefu...