Avunja rekodi kwa kucheza muziki siku 5

0
Mwanafunzi Srushti Sudhir Jagtap (16) raia wa India, amevunja rekodi ya dunia ‘Guinness World Records’ baada ya kucheza muziki kwa muda wa siku tano mfululizo.Srushti alianza kucheza muziki asubuhi ya Mei 29, 2023 na...

Harmonize aachia filamu ya Single Again

0
Mwanamuziki Rajab Kahali almaarufu Harmonize, Konde Boy, Jeshi, anayetamba na wimbo wa 'Single Again,' ameachia filamu fupi ya uhalisia wa yaliyomsibu kwenye mapenzi katika chaneli yake ya YouTube.Katika filamu hiyo inayotokana na wimbo wake...

Prof. Jay: Nipo imara sana

0
Nguli wa Muziki nchini Tanzania, Joseph Haule, maarufu Professor Jay amemshukuru Mungu akisema kwamba sasa yupo imara na anaendelea vizuri sana.Kupitia ukurasa wake wa Instagram amemshukuru pia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu...

Serena atarajia mtoto wa pili

0
Gwiji wa tenisi Serena Williams amethibitisha kuwa ana ujauzito wa mtoto wa pili akiwa kwenye onesho la mitindo ya mavazi la MET Gala siku ya Jumatatu.Bingwa huyo mara 23 wa Grand Slam amewaambia waandishi...

Mende apata umaarufu Met Gala

0
Siku ya ugeni ndio mende walioko ndani ya nyumba yako nao hupita kujitambulisha kuwa nao wapo.Mgeni huyu ambaye wengi huamini uwepo wake ni ishara ya uchafu, alionekana kwenye 'Red Carpet' ya mastaa matajiri na...

Ghetto Kids wang’ara BGT

0
Kikundi cha kucheza muziki cha Triplets Ghetto Kids cha nchini Uganda, kimetikisa shindano la ‘Britain's Got Talent's’ ( BGT) 2023 kwa kuwashangaza majaji na watu mbalimbali kilipokuwa kikitumbuiza katika shindano hilo.Ghetto Kids wamepata heshima...

BASATA: Haiwezekani Msanii kuondolewa kwenye tuzo

0
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuwa kwa sasa haiwezekani msanii yeyote kuondolewa kwenye mfumo wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022, na hivyo limewataka wasanii kujitangaza ili waendelee kupigiwa kura za kutosha.Taarifa...

Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo

0
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda,  ametangaza  jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...

Khosi aondoka na milioni 200

0
Mwanadada Khosi Twala (25) kutoka Afrika Kusini ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans lililojumuisha washindani 24 kutoka Afrika Kusini na Nigeria.Mshindi huyo mbali na mali nyingine ziambatanazo na ushindi huo, ikiwemo nyumba,...

Makamu wa Rais wa Marekani atoa orodha ya wasanii wa Tanzania anaowasikiliza

0
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ametoa orodha ya nyimbo 25 anazosikiliza wakati akiwa barani Afrika kwenye ziara nchini Ghana, Tanzania na Zambia.Katika orodha hiyo yenye mahadhi ya nyimbo zenye jumbe mbalimbali Kamala...