20 kuwania taji la Miss Tanzania

0
Walimbwende 20 Agosti Nane mwaka huu watapanda jukwaani kuwania taji la Miss Tanzania ambalo pia ni tiketi ya kushiriki mashindano ya urembo ya dunia, Miss World.Mlezi wa warembo hao Fatma Mtisiri amesema kuwa fainali...

Wengi wajitokeza kushiriki Club Rahaleo Dodoma

0
Jaji Mkuu wa shindano la Club Rahaleo show Innocent NyanyagwaWasanii wengi wamejitokeza katika siku ya kwanza ya usaili wa kusaka vipaji kwenye shindano la Club la leo Show huko mjini Dodoma.Majaji wa shindano hilo...

Nyoshi El Saadat awahimiza vijana kushiriki Club Raha Leo Show

0
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi Nyoshi El SaadatMwanamuziki wa muziki wa dance nchini Nyoshi El Saadat amewashauri vijana kuchangamkia fursa ya kuonyesha vipaji kupitia shindano la Club Raha Leo Show linaloendeshwa na TBC.Akizungumza...

Msanii maarufu India jela miaka mitano kwa kuua swala

0
Muigizaji maarufu wa filamu za kihindi Salman KhanMahakama moja nchini India imemhukumu nyota na muigizaji maarufu wa  filamu za kihindi  Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua aina mojawepo ya swala ambao...

Polisi wathibitisha kumtia nguvuni Msanii Diamond

0
Msanii Nasib Abdul maarufu kama DiamondJeshi la Polisi Kanda maalum ya DSM limethibitisha kumkamata Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul (Diamond) kwa kosa la kusambaza picha zisizo na maadili kwenye mitandao ya...