Ajali ya ndege yaua 19 Sudan Kusini

0
Watu 19 wamekufa baada ya ndege ndogo ya abiria kuanguka kwenye ziwa Yirol wakati ikijaribu kutua huko Sudan Kusini.Watu wanne tu, wawili wakiwa watoto wamenusurika katika ajali hiyo.Habari kutoka Sudan Kusini zinasema kuwa wakati...

Syria yashutumiwa kutumia silaha za kemikali

0
Balozi wa Marekani nchini Syria, - Jim Jeffrey amesema kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa vikosi vya serikali ya Syria vinajiandaa kutumia silaha za kemikali katika mji wa Idlib.Kauli ya Jeffrey inaelekea kufanana na...

Tetemeko la ardhi laikumba Hokkaido

0
Tetemeko kubwa la ardhi limekikumba Kisiwa cha Hokkaido kilichopo Kaskazini mwa Japan na kuharibu makazi ya watu.Vyombo vya habari katika kisiwa hicho vimeripoti kuwa watu wanane wamekufa na wengine arobaini hawajulikani walipo kutokana na...

Askari 10 Sudan Kusini wahukumiwa kifungo jela

0
Mahakama ya Kijeshi ya Sudan Kusini imewahukumu kifungo cha kati ya miaka Saba na maisha jela, askari kumi wa nchi hiyo baada ya kupatikana na makosa ya kuwadhalilisha wafanyakazi wa kigeni wa kutoa msaada...

Pompeo afanya ziara Pakistan

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, -Mike Pompeo amefanya ziara ya siku moja nchini Pakistan, ziara yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili.Katika ziara hiyo Pompeo alitarajiwa kukutana na viongozi wa...

Kimbunga Jebi chaikumba Japan

0
Watu kumi wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kimbunga Jebi kuyakumba maeneo mbalimbali nchini Japan.Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Japan imesema kuwa kimbunga hicho ni kibaya kuwahi kutokea nchini...

Keita aapishwa kuiongoza Mali

0
Rais mpya wa Mali Ibrahim Boubcar Keita ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 12 mwaka huu.Sherehe za kuapishwa kwa Keita zimefanyika katika viwanja vya Kouluba chini ya ulinzi mkali.Agosti 20 mwaka huu...

Waandishi wa habari Myanmar wahukumiwa kifungo jela

0
Mahakama nchini Myanmar imewahukumu waandishi wa habari wawili wa shirika la habari la Reuters kifungo cha miaka Saba jela kila mmoja kwa kosa la kufanya uchunguzi wa siri nchini humo kuhusu mgogoro wa Rohingya.Waandishi...

Rais Xi Jinping afungua mkutano wa FOCAC

0
Rais Xi Jinping wa China amefungua mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).Akifungua mkutano huo Rais Xi Jinping amesema kuwa China...

Shambulio la kujitoa muhanga lasababisha shule kuporomoka

0
Kumetokea shambulio la kujitoa muhanga katika ofisi moja ya serikali kwenye mji mkuu wa Somalia, - Mogadishu na kusababisha shule iliyokuwa karibu na ofisi hiyo kuporomoka.Mtu aliyekua kwenye gari amejilipua katika eneo...