Brazil yakamata mali za Teodorin Obiang

0
Serikali ya Brazil imekamata fedha taslimu pamoja na saa za thamani, vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya dola milioni 16 za Kimarekani kutoka kwa watu waliofuatana na Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea,...

Dhoruba zatishia maisha Ufilipino, Marekani

0
Serikali ya Ufilipino imeanza kuhamisha maelfu ya watu, kusambaza idadi kubwa ya wanajeshi na kuweka vituo vya huduma za dharura, ili kukabiliana na kimbunga cha ‘Mangkhut’, kinachotishia maisha ya watu takribani milioni 4, Kaskazini...

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafungua ofisi ya ushirika

0
Korea Kaskazini na Korea Kusini imefungua ofisi ya Ushirika ambayo itawaruhusu kuwasiliana mara kwa mara ikiwa ni mara ya kwanza tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe.Ofisi hiyo ambayo ipo upande wa Kaskazini mwa mpaka...

Kenyatta apunguza kodi ya mafuta

0
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekubali kupunguza kodi ya mafuta kwa asilimia nane.Akihutubia taifa hilo Rais Kenyatta amesema amepunguza kodi hiyo kwa wafanyabiashara wote ili kuwawezesha kunufaika zaidi.Takribani miaka miwili iliyopita Rais Kenyatta alipandisha...

Pacha watano wazaliwa Afrika Kusini

0
Pacha watano wamezaliwa karibu na mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini.Watoto hao wamezaliwa katika wiki ya 30 ikiwa ni mapema kwa wiki 10.Habari kutoka nchini Afrika Kusini zinasema hao ni pacha wa tano kuzaliwa...

Dunia yamuaga Koffi Annan

0
Viongozi mbali mbali duniani leo Alhamisi wameungana na familia ya Koffi Annan, wakati shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu huyo wa zamani wa Umoja wa Mataifa zikiendelea, katika nchi yake ya asili, Ghana.Mamia ya...

Waliokufa Afghanistan wafikia 68

0
Idadi ya watu waliokufa baaada ya kutokea kwa shambulio la kujitoa muhanga nchini Afghanistan imeongezeka na kufikia 68.Polisi nchini Afghanistan  wamesema kuwa shambulio hilo ambalo limetokea katika jimbo la Nangarhar lililopo karibu na Pakistan...

Sheria mpya kuanza kutumika Morocco

0
Sheria mpya ambayo inafanya vitendo vya unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia kuwa ni uhalifu itaanza kutumika nchini Morocco hivi karibuni.Sheria hiyo ambayo inajumuisha upigaji marufuku wa ndoa za kulazimishwa,  inafuatia kuongezeka  kwa vitendo  vya...

Mwili wa Annan waagwa Accra

0
Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan unaagwa leo katika mji mkuu wa Ghana, Accra.Mwili wa Annan uliwasili Jumatatu jioni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ulioko mjini Accra...

Ajali ya ndege yaua 19 Sudan Kusini

0
Watu 19 wamekufa baada ya ndege ndogo ya abiria kuanguka kwenye ziwa Yirol wakati ikijaribu kutua huko Sudan Kusini.Watu wanne tu, wawili wakiwa watoto wamenusurika katika ajali hiyo.Habari kutoka Sudan Kusini zinasema kuwa wakati...