Internet Explorer kufutwa rasmi

0
Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote.Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft kwa awamu imekuwa ikiiondoa sokoni bidhaa yake ya Internet Explorer...

Benki 23 zafutiwa leseni Ghana

0
Maelfu ya Raia wa Ghana ambao wameweka akiba zao katika benki mbalimbaliza nchi hiyo, wamepata wasiwasi wa kupoteza akiba hizo kufuatia hatua yaBanki Kuu ya nchi hiyo kufuta leseni 23 za benki pamoja na taasisi nyingineza kifedha.Benki Kuu ya...

Saudia na Pakistani zasaini mikataba ya uwekezaji

0
Saudi Arabia na Pakistani zimesaini mikataba ya uwekezaji yenye thamani ya Dola Bilioni 20 za Kimarekani.Mikataba hiyo imesainiwa wakati wa ziara ya Mwanamfalme wa Saudia Arabia, - Mohammed Bin Salman nchini Pakistani.Akizungumza baada ya kusainiwa...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awahamasisha watanzania kununua Hisa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akinunua hisa toka kampuni ya Simu ya VodacomWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amenunua Hisa za thamani ya shilingi milioni 20 za kampuni ya Simu ya Vodacom ili kuwahamasisha watanzania kuchangamkia fursa...

BRELA yatoa tamko kuhusu Kalynda

0
Wakala wa Biashara na Usajili wa Leseni (BRELA) imetoa ufafanuzi kuhusu kampuni ya Kalynda E-Commerce Limited kufuatia malalamiko yaliyotolewa na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uhalali wa biashara inayofanywa...

Miradi ya dola bilioni 3.68 yasajilIwa TIC

0
Waziri Mlkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha wa 2021/2022, miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya dola bilioni 3.68 za kimarekani inayotekelezwa na kampuni za India imesajiliwa kupitia...

CRDB kuwafikiria wachimbaji wadogo

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, - Abdulmajid Nsekela amesema kuwa  kwa muda mrefu imekua ni vigumu kuwakopesha wachimbaji wa madini nchini kutokana na wachimbaji hao kutokuwa na makazi ya kudumu.Nsekela ametoa kauli hiyo jijini Dar es...

DART yaingiza barabarani mabasi mapya

0
Mabasi mapya 70 ya mwendokasi yaliyoachiwa na serikali hivi karibuni yameanza kutoa huduma na hivyo kufanya jumla ya mabasi yanayotoa huduma kufikia 210.Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu wa...

Dkt. Mpango: Wananchi wa Tanzania na Uganda wanapaswa kuwa wazalendo

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema kutokana na umuhimu mkubwa wa mradi wa Bomba la mafuta, wananchi wa Tanzania na Uganda wanapaswa kuwa wazalendo katika mradi...

EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitisha bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Septemba 1, 2021 na kuagiza bei za mwezi uliopita kuendelea kutumika.Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu...