Wanawake wanufaika na mkopo Mwanza

0
Zaidi ya shilingi billioni 2.75 zimetumika kuwawezesha kiuchumi wanawake,vijana na watu wenye ulemavu 8,191 katika wilaya Nyamagana mkoani Mwanza katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.Akizungumza katika kongamano la wajasirimali,Mkuu wa wilaya Nyamagana Dkt....

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya Kituo cha Uwekezaji

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kazi alikuwa Meneja wa Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni wa Benki Kuu...

Jumuiya ya Sharjah yakaribishwa kuwekeza Zanzibar

0
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein ameikaribisha Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda ya Sharjah kuzichangamkia fursa za uwekezaji zilizopo Zanzibar.Dkt Shein ametoa kauli hiyo Ikulu mjini...

Mfumuko wa bei katika bidhaa zisizo za chakula wapungua

0
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unaoishia mwezi Oktoba mwaka 2019, umeongezeka hadi asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 mwaka ulioishia mwezi Septemba mwaka huu ikiwa ni ongezeko la asilimia...

Wananchi kutoa maoni sheria mpya ya uwekezaji

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Watanzania kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria mpya ya uwekezaji ambayo ilisomwa kwa mara ya kwanza katika mkutano wa nane wa...

Selous Marathon kutoa bima kwa washiriki

0
Mashindano ya mbio ya Selous (Selous Marathon) yanayofanyika kila mwezi wa nane tangu mwaka 2019, leo yamezindua bima ili kuhakikisha usalama kwa washiriki wa mbio hizo endapo watakutwa na janga lolote wakati wa mashindano.Akizungumza...

SIDO yatakiwa kubuni teknolojia na mitambo rafiki

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Nchini (SIDO) kujielekeza katika kubuni teknolojia na mitambo rafiki inayolenga kutatua changamoto za wajasiriamali kulingana na mazingira yao.Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo hilo wakati...

CONDESTER SICHALWE: “POMBE ZA KIENYEJI ZIPEWE VIWANGO”

Mbunge wa Momba (CCM) Condester Sichalwe, ameishauri Serikali, kutafuta namna bora ya kuboresha viwango vya pombe za kienyeji ili kuzipa viwango stahiki kutokana na viwango vya TBS.Condester ameyasema hayo Bungeni wakati wa kujadili hoja...

NEMC yaagizwa kutokufanya kazi ya upolisi

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu kwa umma ili kuwasaidia wenye...

TTCL yatakiwa kufanya utafiti wa soko

0
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kujiendesha kwa faida katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.Dkt Ndugulile ametoa pongezi hizo jijini Dodoma wakati...