SADC washauri biashara ziendelea kama awali

0
Makatibu Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) wamependekeza kuruhusu biashara za bidhaa zote kuendelea kusafirishwa katika nchi zao kama ilivyokuwa kabla ya janga la virusi vya corona.Akizungumza...

Bei elekezi ya sukari kwa mikoa yote

0
Wakati sakata la bei ya sukari likiendea kushika kasi nchini, serikali imesema kuwa haitokubali kuona wananchi walio wengi wanaumia kwa ajili ya manufaa ya watu wachache.Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga alipokuwa...

Marekani Yapongeza Juhudi za Tanzania katika kuvutia wawekezaji

0
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Inmi Patterson amesema kuwa nchi hiyo inatambua jitihada za serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyopo yatasaidia kufikia uchumi wa kati na wa...

Uamuzi.wa ATCL kuanza safari Geita wapongezwa

0
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dkt Leornad Chamuriho amesema uzinduzi wa safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kutoka Dar es salaan Kwenda Geita utasaidia kukuza shughuli za utalii...

Wenye maeneo ya uwekezaji watakiwa kushirikiana na TIC

0
Watanzania wenye viwanja na maeneo makubwa nchini ambayo yanafaa kwa uwekezaji wameshauriwa kwenda katika Kituo cha Uwekezaji nchini - TIC ili kuona ni kwa namna gani wataweza kuyatumia maeneo hayo kwa ajili ya uwekezaji...

Youtube kuziweka alama “watermark” video zake.

0
Kampuni ya Google kupitia mtandao wa Youtube umepanga kuanza kuweka alama “Watermark” kwenye video ambazo zinachezwa kwenye mtandao huo katika siku za hivi karibuni.Hatua hiyo ya YouTube inakuja baada ya kampuni ya China ya...

SIDO yatakiwa kubuni teknolojia na mitambo rafiki

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Nchini (SIDO) kujielekeza katika kubuni teknolojia na mitambo rafiki inayolenga kutatua changamoto za wajasiriamali kulingana na mazingira yao.Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo hilo wakati...

Taasisi za Kibenki zatakiwa kutoa huduma bora

0
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Dkt Bernard Kibesse, amezitaka Taasisi za Kibenki kutoa huduma bora zenye ushindani ili kuinua uchumi wa Taifa.Naibu Gavana Kibesse ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati...

Rais Magufuli apiga simu kumpongeza bilionea mpya wa Tanzanite

0
Rais wa Tanzania, John Magufuli amempongeza mchimbaji mdogo Saniniu Laizer kufuatia kupata mawe mawili ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8 ambayo ameiuzia serikali.Rais Magufuli ametoa pongezi hizo wakati akizungumza kwa njia ya...

Wawekezaji sekta ya mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika sekta ya mawasiliano ambao wanaleta mageuzi.Waziri Nape amesema hayo jijini Dar es Salaam alipotembelea...