Waliokwamisha mradi wa maji kukiona

0
Rais John Magufuli ameagiza kuchukuliwa hatua watu wote  waliohusika kukwamisha kukamilika kwa mradi wa maji katika wilaya ya Bunda mkoani Mara.Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya Wakazi wa wilaya hiyo kumueleza kuwa kwa...

Wanafunzi wa darasa la Saba waendelea na mitihani yao

0
Wanafunzi wa darasa la Saba katika maeneo mbalimbali nchini wanaendelea na mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi iliyoanza mapema hii leo.Mitihani hiyo inafanyika kwa muda wa siku mbili ambazo ni leo Septemba Tano...

Rais Magufuli akutana na Mzee Msekwa

0
Rais John Magufuli amekutana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah katika Ikulu Ndogo ya Nansio - Ukerewe mkoani Mwanza.Baada ya mazungumzo...

Rais Magufuli aendelea kuunguruma Mwanza

0
Rais John Magufuli ameelezea kutoridhishwa na utendaji kazi wa mkandarasi Nyanza Road Works anayejenga barabara ya Bulamba-Kisorya iliyopo mkoani Mara.Rais Magufuli ameyasema hayo wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi...

Kamati za mitihani zatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu

0
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limeziagiza kamati za mitihani za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha taratibu zote za uendeshaji wa mitihani ya taifa ya darasa la saba zinazingatiwa.Agizo hilo limetolewa jijini Dar...

Mkutano wa kujadili viumbe vamizi wafunguliwa Arusha

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba amefungua mkutano wa wadau wa mazingira unaojadili hali halisi,changamoto na mikakati ya kukabiliana na viumbe vamizi nchini.Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha ikiwa...

Mkutano wa 12 wa Bunge waanza

0
Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano umeanza kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kumuapisha Mhandisi Christopher Chizza ambaye ni Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma aliyechaguliwa katika uchaguzi...

Rais Magufuli afanya uteuzi

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt John Jingu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Kabla ya uteuzi huo Dkt Jingu alikuwa...

Mkutano wa 12 Bunge kuanza kesho

0
Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza Septemba Nne na kumalizika Septemba 14 mwaka huu kwa kufanya shughuli mbalimbali.Shughuli hizo ni pamoja na kupitisha kwa hatua...

Ajali yasababisha vifo vya watu watatu

0
Watu Watatu wamekufa papo hapo na mmoja kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili katika eneo la Hedaru - Kadama wilayani Same mkoani Kilimanjaro.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah amewataja...