Scott Morrison Waziri Mkuu mpya Australia

0
Chama cha Liberal nchini Australia kimemteua Scott Morrison kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Malcolm Turnbull ambaye ameondolewa kwa lazima na chama chake.Kutokana na mzozo wa uongozi ndani...

Mnangagwa aapishwa

0
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe anayeungwa mkono na jeshi la nchi hiyo ameapishwa kuongoza Taifa hilo baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Julai mwaka huu.Rais Mnangagwa ameapishwa na Mwanasheria Mkuu wa...

Wajiolojia waanika changamoto ya usahihi wa tafiti “Hatulalamiki ni udanganyifu na makusudi”

0
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Wajiolojia Tanzania Dkt. Elisante Mshiu amesema, changamoto kubwa inayoikabili tasnia hiyo ni udanganyifu katika matokeo ya tafiti.Dkt. Mshiu ameyasema hayo mkoani Arusha wakati wa ufunguzi wa...

Meli za uvuvi za Uingereza na Ufaransa zagongana

0
Meli moja ya uvuvi ya nchini Uingereza imegongana na meli nyingine ya uvuvi kutoka nchini Ufaransa huku wavuvi waliokuwa ndani ya vyombo hivyo vya majini wakitupiana maneno makali na kukaribia kupigana.Wavuvi hao wamekuwa wakigombea...

Tanzania yang’ara Tuzo za AFRIMMA 2021

0
Mwanamuziki wa Bongo Flava Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameibuka kidedea kwa kuwa Mwanamuziki bora wa kiume kwa Afrika Mashariki katika tuzo za AFRIMMA 2021.Katika kinyang’anyiro hicho Diamond alikuwa akishindanishwa na Ali Kiba kutoka...

Utata waendelea kuhusu Khashogi

0
Habari kutoka nchini Uturuki zinasema kuwa Mwandishi wa habari na mtu ambaye amekuwa akiikosoa serikali ya Saudi Arabia, -Jamaal Khashogi bado yuko ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia ulioko mjini Istanbul.Awali gazeti moja...

Russia yashutumiwa kuanzisha vita ya kimtandao

0
Shirika la kiintelijensia la Uingereza limeishutumu Russia kwa kuanzisha vita ya kimtandao dhidi ya mataifa ya Ulaya.Shirika hilo limeishutumu Russia kwa madai ya kuanzisha vita hivyo ili kudidimiza demokrasia iliyo katika nchi za Ulaya.Shirika...

Dhoruba zatishia maisha Ufilipino, Marekani

0
Serikali ya Ufilipino imeanza kuhamisha maelfu ya watu, kusambaza idadi kubwa ya wanajeshi na kuweka vituo vya huduma za dharura, ili kukabiliana na kimbunga cha ‘Mangkhut’, kinachotishia maisha ya watu takribani milioni 4, Kaskazini...

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafungua ofisi ya ushirika

0
Korea Kaskazini na Korea Kusini imefungua ofisi ya Ushirika ambayo itawaruhusu kuwasiliana mara kwa mara ikiwa ni mara ya kwanza tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe.Ofisi hiyo ambayo ipo upande wa Kaskazini mwa mpaka...