Mkutano wa G20

0
Mkutano wa viongozi kutoka mataifa tajiri Duniani maarifu G20,unafanyika huko Osaka nchini Japan ambapo vita ya kibiashara kati ya Marekani na China vinataraji kujadiliwa kwa kina katika mkutano huo.Mkutano huo ambao hujumuisha...

Tume ya Uchaguzi Uganda yasisitiza uchaguzi ulikuwa huru

0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Uganda imetupilia mbali madai yanayotolewa na baadhi ya watu kuwa, kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu wakati wa uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika tarehe 14 mwezi...

Mtoto wa Idriss Deby kuiongoza Chad

0
  Mahmud Idriss Deby Itno ambaye ni mtoto wa Idriss Deby, Rais Mteule wa Chad aliyefariki dunia hii leo, ametangazwa kuwa kiongozi wa baraza la kijeshi la nchi hiyo litakaloongoza kwa kipindi...

Hali si shwari CAR

0
Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) imetangaza hali ya tahadhari, wakati vikundi vya watu wenye silaha vikijaribu kuweka vizuizi vya kuingia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.   Amri hiyo inatarajiwa kudumu kwa muda...

Kusheheni kwa makundi ya nzige kwaleta hofu ya uhaba wa chakula Afrika Mashariki

0
Janga la kuwepo kwa nzige limepamba moto katika baadhi ya nchi ukanda wa mashariki mwa Afrika, huku wananchi wakihofia kutokea kwa uhaba wa chakula.Nzige hao wa jangwani wametapakaa katika baadhi ya sehemu nchini Kenya...

Mtuhumiwa mkuu wa mauaji Darfur afikishwa The Hague

0
Kesi ya mtuhumiwa mkuu wa mauaji katika jimbo la Darfur nchini Sudan, -  Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman maarufu kama Ali Kushayb kwa mara ya kwanza imeanza kusikilizwa katika mahakama ya Kimataifa ya makosa ya uhalifu...

Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo

0
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda,  ametangaza  jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...

Marekani yazuia safari zote kutoka Ulaya

0
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuzuia safari zote kutoka Ulaya kuingia nchini humo, ikiwa ni moja ya njia za kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona.Katika hotuba yake kwa Taifa ...