50 wanaswa kwenye vifusi baada ya jengo kuporomoka

0
Watu watano wamethibitika kufariki dunia baada ya jengo la ghorofa tano kuporomoka katika mji wa George nchini Afrika Kusini.Habari kutoka nchini Afrika Kusini zinaeleza kuwa zaidi ya watu 20 wamejeruhiwa katika tukio hilo na...

Aliyenasa kwenye jengo lililoporomoka Sauzi aokolewa

0
Wanandoa wameshiriki furaha yao na BBC baada ya kijana wao kuokolewa kutoka chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka siku ya Jumatatu katika mji wa pwani wa Afrika Kusini wa George.Delvin Safers anakuwa miongoni mwa...

Abbas Mtemvu Mwenyekiti mpya CCM Dar

0
Abbas Mtemvu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam.Mtemvu amepata kura 444 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kate Kamba ambaye alikuwa akitetea kiti hicho.Wengine walioshiriki katika...

Rais Samia apokelewa Paris

0
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Ali Jabir Mwadini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Paris nchini Ufaransa leo Mei12, 2024.Akiwa jijini Paris Rais Samia anatarajiwa...

Huduma ya umeme kuimarika Desemba

0
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewahakikishia wananchi kuwa huduma ya umeme itaimarika kuanzia mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka huu.Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja kutoka TANESCO Martin Mwambene amesema, huduma hiyo itaimarika baada...

Tetemeko laua watu 46

0
Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya tetemeko la ardhi kukikumba kisiwa cha Java nchini Indonesia imefikia 46, na mamia wengine wamejeruhiwa.Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 5.6 katika kipimo cha matetemeko -Richter imelipiga hasa...

Silaha haramu kuteketezwa kesho

0
Jeshi la Polisi nchini, kesho litateketeza silaha haramu zilizosalimishwa kwa hiari katika kampeni maalum iliyofanyika nchi nzima kuanzia Septemba Mosi mwaka huu hadi Oktoba 31 mwaka huu.Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini...

Rais achangia milioni 70 kusaidia watoto Njiti

0
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni 70 kwenye taasisi ya Doris Mollel Foundation, ambapo shilingi milioni 20 ni kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti kupitia taasisi hiyo.Pia Rais Samia...

Huu ndio mpango wangu kuinyanyua Afrika

0
Kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameeleza majukumu ambayo atatekeleza iwapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).Mambo hayo ni pamoja na kuhakikisha AU inafadhili programu na shughuli zake yenyewe.Odinga pia...

Unaufahamu mji mkubwa zaidi duniani?

0
Mji wa Tokyo uliopo nchini Japan ni mji mkubwa zaidi duniani na wenye idadi kubwa ya watu kupita miji mingine yote.Kwa takwimu za Novemba 2022 zilizoonyesha dunia imefikisha idadi ya watu Bilioni nane, pia...