Hamas wadai kurusha makombora
Wanamgambo wa Hamas kutoka Mamlaka ya Palestina wamedai kurusha makombora kuelekea nchini Israel ikiwa ni hatua ya kupinga kitendo cha nchi ya Misri kutiliana saini mkataba wa amani na Israel.Kombora hilo lilirushwa kutoka katika...
Uchunguzi wafanyika kubaini kilichompata Kashoggi
Wachunguzi kutoka nchini Uturuki walioingia katika makazi mawili ya maafisa ubalozi wa Saudi Arabia kuchunguza matukio wanayoweza kubaini kilichomtokea mwandishi wa habari wa nchi hiyo Jamal Kashoggi wamemaliza kazi yao.Wachunguzi hao wamesema kuwa wamepata...
Ebola yaendelea kusababisha vifo DRC
Maafisa wa afya katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamethibitisha kuwa watu 24 wamefariki dunia katika kipindi cha wiki moja iliyopita baada ya kuugua ugonjwa wa Ebola kwenye eneo la mashariki la Jamhuri hiyo.Kufuatia...
Ghasia zazuka Anjouan
Wakazi wa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro wamesema kuwa kumekuwa na milio ya risasi katika mitaa ya mji mkuu wa kisiwa hicho wa Mutsamudu baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kuondoa vizuizi barabarani...
Uingereza,Ujerumani na Ufaransa zataka uchunguzi kuhusu Khashoggi
Uingereza,Ujerumani na Ufaransa zimetaka kufanyika kwa uchunguzi wa kina kufuatia kutoweka kwa mwandishi maarufu wa wa habari wa Saudia Arabia, - Jamal Khashoggi.Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo wamesema kuwa iwapo mtu...
Maporomoko ya udongo yasababisha vifo Uganda
Zaidi ya watu thelathini wamethibitika kufa baada ya kutokea kwa maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo la mashariki la Uganda.Idadi hiyo ya watu waliokufa inatarajiwa kuongezeka kwa kuwa bado...
Marekani yasema haioni sababu ya kutoiuzia silaha Saudi Arabia
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa haoni sababu ya kusimamisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia kwa sababu ya kutoweka kwa mwandishi wa habari wa Saudi Arabia Jamali Khashoggi.Trump amesema kuwa Marekani inaweza...
Tetemeko jingine laitikisha Indonesia
Tetemeko jingine la ardhi limevitikisa visiwa vya Java na Bali nchini Indonesia zikiwa zimepita wiki mbili tu tangu matetemeko mengine makubwa yalipoitikisa nchi hiyo na kusababisha vifo vya zaidi ya watu elfu mbili.Kumekuwa na...
Kimbunga Michael chasababisha uharibifu Florida
Kimbunga Michael tayari kimelipiga jimbo la Florida nchini Marekani na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu ambao haujawahi kutokea katika jimbo hilo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.Kimbunga hicho ambacho hivi sasa kinaelekea...
Marekani yashinikizwa kufanya uchunguzi kuhusu kashoggi
Baadhi ya wabunge wa bunge la Seneti la nchini Marekani wameanza kuihamasisha serikali ya nchi yao kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio la kupotea kwa mwandishi wa habari raia wa Saudi Arabia katika ubalozi wa...