Huduma za posta kuboreshwa

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema, serikali itahakikisha huduma za posta nchini zinaendelea kuboreshwa na kukua zaidi.Amesema hatua hiyo itasaidia kuendana na mapinduzi ya teknolojia duniani na...

Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi wa MUHAS

0
Shija Kamanija 'Vunja Bei' ametoa zawadi ya vyombo kwa wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS)Huu umekuwa ni mwendelezo wa zoezi lake la kugawa vyombo katika taasisi za Serikali kati yao...

Machinga kupata soko Kigoma

0
Rais Samia suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa mkoa wa Kigoma kuhakikisha wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga wanakuwa na mazingira bora ya kufanyia shughuli zao.Rais Samia ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na wakazi wa...

Wakamatwa kwa madai ya wizi wa fedha kwa njia ya simu

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Ialla jijini Dar es Salaam linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za wizi wa mtandaoni na utapeli.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa Ilala, Janeth Magomi...

Kituo cha kurusha matangazo ya Redio cha TBC kuzinduliwa Katavi

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuzindua kituo cha kurusha matangazo ya redio cha TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi.Uzinduzi huo utafanyika Januari 10, 2023...

Huawei yaishitaki Marekani

0
Kampuni kubwa ya vifaa vya teknolojia ya Huawei ya nchini China imeishitaki serikali ya Marekani kwa kuathiri biashara ya kampuni hiyo baada ya kuzuia bidhaa zake kuuzwa Marekani kwa madai kuwa imekiuka vikwazo vya biashara.Mgogoro kati ya...

Athari na suluhisho la mdororo wa uchumi

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha akiwa ndiye mwendesha mjadala wa Mdororo wa Uchumi Ulimwenguni uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano (JNICC) mkoani Dar es Salaam amesema...

Mashine ya kurekodi ndoto yapatikana

0
Umewahi kuamka asubuhi na kusahau kabisa ulichokiota na ukijua kuna uwezekano usiwahi kamwe kukikumbuka tena?.Hivi sasa Wanasayansi wamebadili mwelekeo wa dhana hiyo.Wanasayansi hao kutoka nchini Japan wamevumbua kifaa kinachoweza kurekodi ndoto ukiwa...

Iringa wapata soko la uhakika la parachichi

0
Wakulima wa parachichi mkoani Iringa wamepata soko la uhakika la zao hilo baada ya kujitokeza mwekezaji ajulikanaye kama Kibidula Farm na kuanza kulima na kununua zao hilo na kisha kuuza nje ya nchi.Mkuu...

Chachacha za Gucci kuuzwa milioni 1

0
Kwa sasa ulimwengu wa mitindo umepatwa na msisimuko kutoka @gucci kutokana na mojawapo ya miundo yao ya kiatu cha “jelly slippers” maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola...