Soko Kuu la Kisutu kuongeza ajira

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo ameweka jiwe la msingi katika Soko Kuu la Kisutu ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku tatu jijini Dar es Salaam.Soko Kuu...

Kenya walia na kupanda gharama za maisha

0
Wananchi nchini Kenya wamesema serikali mpya itakatoundwa baada ya uchaguzi mkuu wa Rais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu itakuwa na jukumu kubwa la kutatua matatizo ya wananchi ikiwemo kupanda kwa gharama za maisha.Wananchi hao...

MV Amani kuchochea biashara kati ya Tanzania na DR Congo

0
Wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fursa ya kuanza kwa safari za meli ya MV Amani ambayo ni kubwa na ya kisasa katika Ziwa Tanganyika kuongeza kiwango cha mizigo ya kupelekwa DRC Congo bila kuhofia...

Rais atoa pole kwa wafanyabiashara Kariakoo

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa siko hilo.Kufuatia...

Shirika la Utangazaji Tanzania-TBC lapata Tuzo

0
Katika sikuu ya uzinduzi rasmi ya Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara yaliozinduliwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Shirika la Utangazaji Tanzania ‘TBC’ limepata Tuzo ya “wahabarishaji...

EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitisha bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Septemba 1, 2021 na kuagiza bei za mwezi uliopita kuendelea kutumika.Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu...

TCRA yaagizwa kushughukia malalamiko kuhusu bando na vifurushi

0
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) muda wa miezi mitatu, kushughulikia malalamiko ya Wananchi kuhusu huduma za bando na vifurushi zinazotolewa na...

Wananchi kutoa maoni sheria mpya ya uwekezaji

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Watanzania kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria mpya ya uwekezaji ambayo ilisomwa kwa mara ya kwanza katika mkutano wa nane wa...

Nilipoteuliwa sikujua TBC ni kubwa hivi – Kagaigai

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Steven Kagaigai amesema hakuwa anaujua ukubwa wa TBC hadi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo.Kagaigai amesema hayo wakati...