TRA watakiwa kuwajengea wafanyabiashara tabia ya ulipaji kodi kwa hiari

0
Mkuu wa Mkoa wa  Mbeya, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara mkoani humo kujenga tabia ya kulipa kodi kwa hiari na kuwatahadharisha baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato nchini  -TRA wanaotumia mianya ya kujinufaisha kwa kuchukua fedha nje ya utaratibu  wa serikali kuacha mara moja. Chalamila ametoa rai hiyo Mkoani Mbeya baada ya  kuzungumza na baadhi ya wawekezaji na wafanyabiashara kuhusiana na changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua. Amesema...

MV Amani kuchochea biashara kati ya Tanzania na DR Congo

0
Wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fursa ya kuanza kwa safari za meli ya MV Amani ambayo ni kubwa na ya kisasa katika Ziwa Tanganyika kuongeza kiwango cha mizigo ya kupelekwa DRC Congo bila kuhofia...

Dkt Shein kufungua maonesho ya utalii Zanzibar

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein anatarajiwa kufungua maonesho ya utalii yatakayofanyika Zanzibar kuanzia Oktoba 17 hadi 20 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, Waziri...

Serikali yaongeza Bajeti kwenye utafiti wa Mbegu za Alizeti

0
Serikali imendelea kuwekeza kwenye Taasisi zinazohusika na utafiti na uzalishaji wa mbegu bora ikiwa ni pamoja na mbegu za zao la Alizeti ili kuongeza tija na kukabiliana na upungufu wa mafuta ya kula nchini.Hayo...

Kiswahili kitumike kufanya biashara

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amezihamasisha nchi za Afrika kutumia lugha ya kiswahili, ili kuondoa changamoto ya lugha katika kufanya biashara.Aidha Waziri Kijaji amewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuzalisha...

Marekani Yapongeza Juhudi za Tanzania katika kuvutia wawekezaji

0
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Inmi Patterson amesema kuwa nchi hiyo inatambua jitihada za serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyopo yatasaidia kufikia uchumi wa kati na wa...

Wajasiriamali kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu

0
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu kina mama na vijana. Akizungumza mjini Arusha katika hafla ya kukabidhi mikopo isiyokuwa na riba kwa kina mama wajasiliamali Waziri Nchi...

Waziri aagiza waliouziwa umeme bei ghali kurudishiwa fedha zao

0
Maafisa wawili wa Kampuni ya Jumeme wamekamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kuwauzia wananchi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema uniti moja ya umeme kwa shilingi 3,500 badala ya TZS 100.Wawili...

Wajasiriamali wadogo Tanga wapatiwa vitambulisho

0
Mkuu wa mkoa wa Tanga, -Martine Shigela amewaagiza Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za mkoa huo kuwasimamia wafanyabiashara wadogo katika maeneo yao ili wasibughudhiwe na suala la ulipaji kodi usiozingatia utaratibu.Shigela ametoa...

Mradi wa Bomba la EACOP ni salama

0
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio ambaye ni pia ni mjumbe wa bodi ya Shirika linaloendesha mradi wa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrka...