Saa za Apple na teknolojia ya utambuzi

0
Kampuni ya Apple imeachilia sokoni bidhaa yake mpya ya Apple Watch Series 8, ambayo ina vipengele vipya vya kutambua ajali ya gari pamoja na hali ya afya ya uzazi kwa wanawake.Hata hivyo toleo hilo...

Rais atoa pole kwa wafanyabiashara Kariakoo

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa siko hilo.Kufuatia...

Dkt. Mpango : Biashara ni ushindani

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewashauri Wafanyabiashara nchini kuboresha biashara zao, ili ziweze kushindanishwa katika soko la dunia.Dkt. Mpango ameyasema hayo wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 45 ya Kimataifa...

iPhone 12 yaiteka mitandao ya kijamii

0
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Apple, maarufu kwa simu za iPhone na tarakalishi zake za Mac imetambulisha simu mpya aina ya iPhone 12 zinazozungumziwa zaidi mitandaoni.Toleo jipya la iPhone 12 lina aina tatu...

Serikali yakerwa na watu wanaofanya vitendo vya utoroshaji madini

0
Naibu  Waziri wa Madini  Stanslaus  Nyongo amesema vitendo vya utoroshaji wa madini nje ya nchi vinavyofanywa na baadhi  ya wachimbaji wadogo vimesababisha serikali kukosa mapato. Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya usimamizi endelevu wa rasilimali madini kwa wachimbaji...

BoT yachukua usimamizi wa China Commercial Bank Ltd

0
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imechukua usimamizi wa China Commercial Bank Limited na kusimamisha Bodi ya Wakurugenzi na uongozi wa benki hiyo ya nchini China baada ya kubaini upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na...

Mauzo ya hisa yaongezeka DSE

0
Msemaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Mary KinaboWiki iliyopita ilikuwa yenye mavuno manono kwa soko la hisa la Dar es salaam (DSE)  baada ya mauzo ya hisa kuongezeka karibu mara nne...

NGOZI: Zao lenye thamani kubwa

0
Mwenyekiti Chama cha Uendeshaji Mifugo Tanzania aeleza umuhimu wa lishe katika zao la ngozi leo alipokuwa kwenye mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania.Dkt. Daniel Komwihangilo amesema bidhaa bora za ngozi zinatokana na ngozi itokanayo...

Wafanyabiashara soko la Magomeni wapewa siku 7 kuhamia soko jipya

0
Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam imetoa muda wa wiki moja kwa Wafanyabiashara wa soko la Magomeni kuhakikisha wanahamia katika soko jipya la Magomeni kama Serikali ilivyokusudia.Meya wa Manispaa ya Kinondoni...

Sekta ya uwekezaji yaendelea kukua

0
Waziri wa Fedha na Mipango  Dkt Philip Mpango amesema kuwa sekta ya uwekezaji nchini imeendelea kukua ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki kutokana na ripoti mbalimbali za uwekezaji duniani.Waziri Mpango ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati...