Mashine ya kurekodi ndoto yapatikana

0
938

Umewahi kuamka asubuhi na kusahau kabisa ulichokiota na ukijua kuna uwezekano usiwahi kamwe kukikumbuka tena?.

Hivi sasa Wanasayansi wamebadili mwelekeo wa dhana hiyo.

Wanasayansi hao kutoka nchini Japan wamevumbua kifaa kinachoweza kurekodi ndoto ukiwa umelala na kukusaidia kuchagua ndoto hiyo iishie namna gani lakini pia kuweza kuirudia kama filamu.

Utaalam huo utatumia skana ya Magnetic Resonance imagining (MRI Scanner).