Viongozi EAC kuijadili DRC

0
Viongozi wa mataifa saba yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hii leo jijini Nairobi, Kenya, kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

Msumbiji yataka mazungumzo na Wanamgambo

0
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema kuwa, milango ya mazungumzo iko wazi kwa Wanamgambo ambao wamekua wakifanya mashambulio katika jimbo la Cabo lililopo Kaskazini mwa nchi hiyo.Wanamgambo hao wanaojulikana kama Al-Shabaab ambao hata...

Olympics: Washindi wa medali wa Uganda kulipwa mishahara

0
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewazawadia wachezaji wa nchi hiyo walioshinda medali katika mashindano ya Tokyo Olympics 2020 yaliyofanyika kuanzia Julai 23 hadi Agosti 8, 2021.Washindi wawili wa medali za dhahabu, Joshua Cheptegei na...

Benzema Astaafu Soka la Kimataifa

0
Karim Benzema ametangaza kutundika daluga kuichezea timu ya Taifa ya Ufaransa.Benzema amecheza michezo 97 na kuifungia Ufaransa magoli 37, na sasa rasmi amestaafu.

Rais Magufuli aeleza alivyonyweshwa Sumu

0
Rais John Magufuli ameelezea namna alivyonusurika kifo baada ya kunyweshwa sumu akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake kama Waziri wa Ujenzi na kumshukuru Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwa kuendelea kumuami na kumpa ulinzi.Akihutubia jijini...

Mradi wa SEQUIP kuboresha elimu

0
Serikali imedhamiria kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye shule na vyuo, huku ikiwajengea Walimu uwezo wa kiutendaji kupitia mafunzo yanayoendelea kutolewa kupitia mradi wa kuimarisha Shule...

Maonesho makubwa ya kahawa yafanyika Japan

0
Maonesho makubwa ya kahawa yamefanyika nchini Japan, ambapo watumiaji wengi wa kahawa nchini humo wamejitokeza kuonja kahawa ya Tanzania.Maonesho hayo ya kahawa yanaelezwa kuwa ni muhimu katika kuendelea kukuza soko la kahawa...

Armensty International yashutumu uhalifu Libya

0
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu  la Armensty International limesema kuwa lina ushahidi wa kutosha kuwa vitendo vya uhalifu wa kivita vimetekelezwa nchini Libya, baada ya nchi hiyo kujikuta katika mapigano mapya.Libya imejikuta katika...

Bruce Willis aachana na filamu

0
Familia ya mcheza filamu wa Marekani Bruce Willis imetangaza kuwa mwigizaji huyo mwenye umri wa miaka 67 anastaafu kuigiza filamu za kulipwa baada ya kubainika kuwa na Aphasia, ambayo ni changamoto ya matamshi inayosababishwa...

Muswada wa Kupinga Kura ya Kutokuwa na Imani Na Meya wa Jimbo la Hong...

0
Upande wa upinzani katika jimbo la Hong Kong nchini China unashinikiza kupitishwa kwa muswada wa kupinga kura ya kutokuwa na imani na Meya wa jimbo la Hong Kong, baada ya meya huyo kukiri kuwa yeye ndiye aliyehamasisha...