Mongella akabidhiwa mikoba CCM

0
490

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Anamringi Macha, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu mpa wa chama hicho (Bara), Komredi John Mongella, ikiwa ni sehemu ya makabidhiano rasmi ya ofisi, katika shughuli iliyofanyika leo Alhamis, Aprili 4, 2024, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam.