Kamati ya Bunge, Nape wakagua ujenzi ofisi za Makao Makuu TBC

0
164

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miuondombinu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakikagua mradi wa ujenzi wa Makao Makuu ya Ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Vikonje jijini Dodoma na kupata maelezo ya utekelezaji wa mradi huo hatua kwa hatua kutoka kwa viongozi wa TBC