Vifo vya uzazi vyapungua Lindi

0
Mkuu wa mkoa wa Lindi , Zainabu Telack amesema, maboresho katika sekta ya afya yanayoendelea kufanyika mkoani humo yamesaidia kupunguza vifo vya akina mama wakati wa uzazi.Amesema kwa mwaka 2020 kulikua na vifo 54,...

Dkt. Kikwete ashtushwa na idadi ndogo ya wahitimu wa kiume

0
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuna umuhimu wa kufanya tafiti kujua ni kwa nini idadi ya wahitimu wanaume katika chuo hicho imekua ikipungua mwaka hadi mwaka.Dkt. Kikwete...

CCM yafuta uchaguzi wa UVCCM Simiyu

0
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta uchaguzi wa viongozi wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) mkoani Simiyu kutokana na tuhuma za ukikwaji wa taratibu.CCM pia imefuta uchaguzi wa Wajumbe wa ...

Viongozi wa Dini wakumbushwa kuendelea kulinda maadili

0
Viongozi wa dini, mila na watanzania wote wamekumbushwa kuendelea kushirikiana katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili, ili kuwa na Taifa lenye maadili mema.Hayo yamesemwa mkoani Dar es Salaam na Azim...

Wanaotegesha mazao watahadharishwa

0
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewatahadharisha wananchi wanaotegesha kwa kupanda mazao kwenye maeneo yanayotakiwa kulipwa fidia na Mgodi wa North Mara.Dkt. Kiruswa ametoa tahadhari hiyo alipotembelea maeneo ambayo wananchi wametegesha kwa...

Heri ya Siku ya Mama kwa akina Mama wote duniani.

0
Heri ya Siku ya Mama kwa akina Mama wote duniani.#AsanteMamaSiku ya Mama Duniani huadhimishwa Jumapili ya pili ya mwezi Mei kila mwaka.Nini huwezi kusahau kutoka kwa Mama yako?.#Mama#Mother#TBCDigital

Tunakushukuru Dkt. Mwinyi

0
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Michael Mndolwa amemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kwa kuendelea kusimamia uhuru wa kuabudu na kuonesha msimamo wakati wa mfungo...

Mbeya City kuikabili Simba leo

0
Ligi Kuu ya soka ya NBC inaendelea hii leo kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti hapa nchini.Katika uwanja wa Sokione, Mkoani Mbeya wenyeji Mbeya City ‘’Wana Koma Kumwanya” wanawakaribisha Wekundu wa Msimbazi...

Maganya amuangusha Mndolwa wazazi CCM

0
Fadhil Maganya amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na kuwashinda wagombea wengine saba.Maganya amechaguliwa kwa kura 578 kati ya 835 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano...

TANESCO SACCOS yakabidhi shuka 150 Ligula

0
Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo TANESCO SACCOS, kimekabidhi shuka 150 kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara ya Ligula, zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tano.Mjumbe wa TANESCO SACCOS,...