UVIKO – 19 si janga tena

0
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maambukizi ya UVIKO -19 sio tena janga la dunia.Tangazo hilo la WHO linatoa mwelekeo.mzuri wa kumalizika kwa janga hilo na limekuja miaka mitatu baada ya kutangazwa kwa...

Ala ndizi ya Milioni 281.7

0
Njaa imemponza mwanafunzi mmoja huko Korea Kusini ambaye amekula ndizi ambayo pengine ndiyo ndizi ghali zaidi kuwahi kuuzwa duniani na chakula cha gharama zaidi alichowahi kula.Wakati wa maonesho ya kazi za sanaa katika onesho...

Mbegu za uzazi zafikisha watoto 550

0
Mwanaume mmoja raia wa Uholanzi anadhaniwa kuzaa watoto zaidi ya 550 kulingana na mbegu za uzazi alizotoa na hivyo kuamriwa kuacha kutoa mbegu hizo.Kuna uwezekano kwa mwanaume huyo Jonathan M (41) kutozwa faini ya...

Jina ‘Pele’ kuongezwa kwenye kamusi

0
Nchini Ureno jina la mchezaji maarufu wa Brazil aliyefariki Desemba 2022, akiwa na umri wa miaka 82, 'Pele' limeongezwa kwenye kamusi kama neno jipya na kielezi kinachomaanisha upekee, 'Mtu asiye wa kawaida wala asiyeweza...

Mchungaji mwingine akamatwa kwa vifo vya waumini

0
Mchungaji Ezekiel Odero wa Kanisa la New Life International, Kenya amekamatwa na polisi kwa kuhusishwa na kesi ya Mchungaji Paul Mckenzie ya waumini waliofunga hadi kufa ili wawahi kufika mbinguni.Kamanda wa Polisi Pwani, Rhoda...

Namba moja kwa vifaa vinne

0
Mtandao wa WhatsApp umeongeza wigo wa utoaji huduma kwa kuruhusu mtumiaji kuweza kutumia namba moja kwa vifaa vya kielekroniki vinne.Akitoa tangazo hilo rasmi mmiliki wa mtandao huo Mark Zuckerberg amesema “Kuanzia leo, unaweza kuingia...

Elon Musk apata harasa

0
Wakati macho yakielekezwa kwenye kurasa za watu mashuhuri kwenye mtandao wa Twitter wanaoondolewa alama ya bluu 'Blue tick' na wengine kujitoa kwenye mtandao huo unaomilikiwa na Bilionea Elon Musk, Bilionea huyo amekumbwa na mkasa...

Aliyekutwa amefariki Marekani adaiwa ni Mtanzania

0
Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita.Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo kuwa ni wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa...

Nimrod Mkono afariki dunia

0
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara na Wakili maarufu nchini Nimrod Mkono amefariki dunia hii leo.Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha kaka yakemapema hii leo nchini Marekani.

Serikali yaomba radhi kufuatia sakata la “Prison Break”

0
Kufuatia kurudishwa kwa Thabo Bester nchini Afrika Kusini baada ya kujitengenezea kifo chake, Serikali ya Afrika Kusini imewaomba radhi wananchi pamoja na familia za waathirika wa majanga mikononi mwa Bester kufuatia kutoroka kwa mtuhumiwa...