Serikali kuendelea kuwalinda Wawekezaji

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, Serikali itahakikisha inawalinda Wawekezaji  na kulinda bidhaa zao ili waweze kupata soko nchini na nje ya nchi.   Waziri Mkuu Majaliwa ametoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti  wilayani Kibaha mkoani...

Mawakala wanaoficha saruji waonywa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani, lengo likiwa ni...

CRDB yawapatia udhamini wa masomo Wanamichezo 25

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega amevitaka vyama na mashirikisho ya michezo nchini kuwa wawazi na wawajibikaji katika matumizi ya fedha za wadhamini, ili kuwapa imani wadau wengi zaidi...

ZSSF yaagizwa kusimamia amana za Wanachama

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amesema kuwa, Serikali itaendelea kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ili kuhakikisha amana zote za Wananchama...

Wafanyabiashara soko la Magomeni wapewa siku 7 kuhamia soko jipya

0
Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam imetoa muda wa wiki moja kwa Wafanyabiashara wa soko la Magomeni kuhakikisha wanahamia katika soko jipya la Magomeni kama Serikali ilivyokusudia.Meya wa Manispaa ya Kinondoni...

EOTF yawafunda Wajasiriamali

0
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na taasisi zinazojishughulisha na uwezeshaji Wananchi kiuchumi hasa makundi ya Wajasiriamali, ili kuinua sekta ya Wafanyabiashara wadogo.Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda na Biashara Dotto James ametoa ahadi hiyo...

Halmashauri kupimwa kwa kubuni vyanzo vya mapato

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kigezo cha ziada cha kuzipima halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila halmashauri kubuni...