Mark Zuckerberg apata hasara trilioni 13

0
Utajiri wa mmiliki wa Kampuni ya Facebook, Mark Zuckerberg imeshuka kwa shilingi trilioni 13.8 kwa saa chache ambazo mtandao huo na kampuni tanzu za WhatsApp na Instagram hazikuwa hewa, Bloomberg imeripoti.Utajiri wake binafsi sasa...

NFRA yatakiwa kuongeza kasi ununuzi wa mahindi

0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua tani laki moja za zao la mahindi kutoka kwa Wakulima wa maeneo mbalimbali nchini, ili kuiwezesha nchi kuwa na...

Ufugaji wa samaki kuongeza malighafi viwandani

0
Serikali imesema uwekezaji wa ufugaji wa samaki utasaidia kuongeza malighafi kwenye viwanda vya uchakataji wa samaki pamoja na kuanzisha viwanda vipya hususani katika ukanda wa Bahari ya Hindi.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki...

AfDB yaongezewa mtaji

0
Mkutano maalum wa Tano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kauli moja umekubali na kuridhia ongezeko la mtaji wa Benki hiyo kutoka Dola Bilioni 90 za Kimarekani hadi Dola Bilioni 283.   Akizungumza...

CONDESTER SICHALWE: “POMBE ZA KIENYEJI ZIPEWE VIWANGO”

Mbunge wa Momba (CCM) Condester Sichalwe, ameishauri Serikali, kutafuta namna bora ya kuboresha viwango vya pombe za kienyeji ili kuzipa viwango stahiki kutokana na viwango vya TBS.Condester ameyasema hayo Bungeni wakati wa kujadili hoja...

Tanzania Itapata Faida Nyingi za Kiuchumi ikiridhia Mkataba wa AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, amesema Tanzania itapata faida nyingi za kiuchumi endapo itaridhia Mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la Biashara la Afrika(AfCFTA).Prof. Mkumbo ameyasema hayo akijumuisha maoni...

Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi ikipokea magari 4,300

0
Meli kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4,397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam na kuvunja rekodi, ikiwa na idadi kubwa ya magari kuwasili kwa mara moja katika bandari hiyo.Kaimu Mkurugenzi wa...