Uzinduzi wa kituo cha TBC Inyonga, Mlele

0
Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha kurusha matangazo ya redio TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi.Waziri wa Habari,...

Maandalizi uzinduzi kituo cha TBC – Inyonga, Mlele

0
Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Fiberto Sanga amekagua maandalizi ya uzinduzi wa kituo cha kurusha matangazo ya Redio TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi ambapo alipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi...

Kituo cha kurusha matangazo ya Redio cha TBC kuzinduliwa Katavi

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuzindua kituo cha kurusha matangazo ya redio cha TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi.Uzinduzi huo utafanyika Januari 10, 2023...

Nywele za binadamu kutumika kusafisha mazingira

0
Taasisi isiyo ya kiserikali inayofahamika kama Dung Dung imekuja na mfumo wa kusafisha mazingira kwa kutumia nywele za binadamu.Taasisi hiyo imeanzisha mpango unaojulikana kama 'hair recycle project' ambapo vipande vya nywele hukusanywa kutoka kwa...

Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) lateua mabalozi Tanzania

0
Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) limewateua Watanzania watatu kuwa mabalozi wa baraza hilo nchini, ili kuhakikisha linatimiza wajibu wake ipasavyo na kufanya biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki...

Teknolojia mpya ya barabara zinazochaji magari

0
Ujerumani imeanza kuwekeza katika mradi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara zenye uwezo wa kuchaji magari bila ya kutumia waya, hii itakuwa ni teknolojia mpya zaidi kwa nchi zilizoendelea.Mradi huo unatekelezwa na kampuni...

SMS kongwe zaidi yafikisha miaka 30

0
Hivi ndivyo ulivyosomeka ujumbe wa kwanza wa simu ya mkononi uliotumwa miaka 30 iliyopita mnamo Desemba 1992.Mhandisi wa kampuni ya Vodafone Neil Papworth kwa kipindi hicho alikuwa akijaribu teknolojia  mpya kwa kutuma ujumbe...

Internet Explorer kufutwa rasmi

0
Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote.Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft kwa awamu imekuwa ikiiondoa sokoni bidhaa yake ya Internet Explorer...

Microsoft kufikisha intaneti Afrika kupitia Satelaiti

0
Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft imeweka bayana mpango wake wa kufikisha huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti kwa watu zaidi ya milioni 10 ambao nusu yake wanaishi katika nchi za Afrika.Mpango huo wa...

Kiswahili kitumike kufanya biashara

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amezihamasisha nchi za Afrika kutumia lugha ya kiswahili, ili kuondoa changamoto ya lugha katika kufanya biashara.Aidha Waziri Kijaji amewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuzalisha...