Wafugaji wa kuku walia na ukosefu wa vifaranga

0
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ameiomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuondoa adha ya kukosekana kwa vifaranga vya kuku bora nchini pamoja na tatizo la upatikanaji wa chakula bora cha kuku.Waziri Mkuu Mstaafu Pinda...

TRA yatakiwa kupiga mnada makontena ya samani

0
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango amemuagiza Kamishna wa forodha wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kufuata hatua stahiki na kuyapiga mnada makontena Ishirini ya samani yaliyoagizwa na kuingizwa nchini...

TIC kutumia mfumo wa kielektroniki kutoa vibali

0
Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) kinatarajia kuanza kutumia mfumo wa ndani wa kielektroniki kutoa vibali vya kazi kwa wawekezaji, lengo likiwa ni kuwawezesha wawekezaji hao kuomba vibali hivyo kabla ya kufika nchini.Akizungumza na waandishi...

AfDB kuangalia miradi zaidi ya kuwekeza Tanzania

0
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Phillip Mpango amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Wanachama wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) zinazonufaika na miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na benki hiyo.Akizungumza...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awahamasisha watanzania kununua Hisa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akinunua hisa toka kampuni ya Simu ya VodacomWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amenunua Hisa za thamani ya shilingi milioni 20 za kampuni ya Simu ya Vodacom ili kuwahamasisha watanzania kuchangamkia fursa...

Mauzo ya hisa yaongezeka DSE

0
Msemaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Mary KinaboWiki iliyopita ilikuwa yenye mavuno manono kwa soko la hisa la Dar es salaam (DSE)  baada ya mauzo ya hisa kuongezeka karibu mara nne...

Wafanyabiashara waachwa nyuma kasi ya Magufuli uchumi wa viwanda

0
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Godfrey SimbeyeTaasisi ya sekta binafsi nchini TPSF imesema kuna umuhimu kwa wafanyabiashara kwenda na kasi ya serikali katika utekelezaji wa sera ya uchumi wa viwanda ili sera hiyo iweze kuwa...

MCB yaanzisha huduma ya mikopo ya dharura

0
Mkuu wa kitengo cha ukuzaji biashara na masoko wa benki ya MCB Valence Luteganya (wa tatu kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika uzinduzi wa huduma mpya ya benki hiyo ya Mikopo ya dharula.Benki...

Wajasiriamali kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu

0
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu kina mama na vijana. Akizungumza mjini Arusha katika hafla ya kukabidhi mikopo isiyokuwa na riba kwa kina mama wajasiliamali Waziri Nchi...