Wanafamilia msibani Monduli

0
2366

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa ikiongozwa na mke wa kiongozi huyo Regina Lowassa ikiwa nyumbani kijijini Ngarash, Monduli mkoani Arusha kwa ajili ya kumuaga Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024.