Ruge Afariki Dunia

0
1133

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ltd. Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo nchini Afrika Kusini alipokuwa anapatiwa matibabu, kufuatia msiba huo Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki na kueleza kusikitishwa na msiba huo