Maandalizi kumbukizi ya miaka 40 kifo cha Sokoine

0
284

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza na mke mdogo wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Sokoine, Mama Wakiteto Sokoine alipofika nyumbani kwa Hayati Sokoine wilayani Monduli, kukagua maandalizi ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha kiongozi huyo.

Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Sokoine itafanyika kesho Aprili 12, 2024 na itaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.