Shirika la Utangazaji Tanzania-TBC lapata Tuzo

0
680

Katika sikuu ya uzinduzi rasmi ya Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara yaliozinduliwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Shirika la Utangazaji Tanzania ‘TBC’ limepata Tuzo ya “wahabarishaji na wachapishaji bora”