Daraja la mto Rau laanza kukarabatiwa

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro umeanza ukarabati wa daraja la Mto Rau lililoko Manispaa ya Moshi kufuatia kingo za daraja hilo...

Halmashauri kupimwa kwa kubuni vyanzo vya mapato

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kigezo cha ziada cha kuzipima halmashauri zote...