Home Technology Polisi Togo yatawanya waandamanaji kwa mabomu ya machozi

Polisi Togo yatawanya waandamanaji kwa mabomu ya machozi

TogoVikosi vya ulinzi  vya Togo vimelazimika kutumia mabomu ya machozi  kuwatawanya mamia ya waandamanaji wa upinzani waliokusanyika nje ya ubalozi wa Ufaransa mjini Lome.

Waandamanaji hao wenye kampeni ya Okoa Togo wanapinga mabadiliko ya sheria za uchaguzi zilizopitishwa na bunge la nchi hiyo  pia mapendekezo ya viti vya ubunge katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba. 

Last Updated ( Friday, 06 July 2012 11:23 )  
Banner