Home News

News

Dereva adaiwa kunywa pombe huku akiendesha gari na kusababisha gari.

Dereva adaiwa kunywa pombe huku akiendesha gari na  kusababisha gari.

Majeruhi wanane waliolazwa katika Hospital ya mkoa wa KIGOMA MAWENI kufuatia ajali ya gari aina ya FUSO iliyoua watu saba papohapo jana katika kijiji cha ILUNDE wilayani kigoma mkoani kigoma wamesema mwendo kasi na pombe aliyokuwa amekunywa dereva ndiyo chanzo cha ajali hiyo.

Last Updated ( Thursday, 08 October 2009 13:44 )

Read more...
 

Uhaba wa wataalamu umeendelea kukwamisha utoaji wa huduma bora za afya nchini.

Uhaba wa wataalamu umeendelea kukwamisha utoaji wa huduma bora za afya nchini.  Wizara ya afya na wadau wa sekta ya afya wamefanya tathmini ya mwaka mmoja ya utendaji wa sekta hiyo ambapo Waziri wa afya na ustawi wa jamii Profesa DAVID MWAKYUSA amesema sekta hiyo inakabiliwa na uhaba wa wataalam, changamoto ambayo imejitokeza katika tathmini Tatu mfululizo.

Last Updated ( Friday, 16 October 2009 09:48 )

Read more...
Banner