Home Local General Kawambwa azindua mwongozo udhibiti elimu ya juu

Kawambwa azindua mwongozo udhibiti elimu ya juu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dakta Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dakta Shukuru Kawambwa amezindua rasmi miongozo ya udhibiti wa ubora wa elimu ya juu nchini ambayo itakidhi mahitaji muhimu katika usimamizi wa rasilimali watu katika elimu ya juu.

Waziri Kawambwa amezindua miongozo hiyo, mjini Dodoma na kusema kuwa itasaidia kuweka vigezo thabiti ili kubaini muundo na hadhi mbalimbali za kiutawala katika taasisi za elimu ya juu.

Victoria Patrick, TBC Dodoma.

Last Updated ( Friday, 13 July 2012 15:33 )  
Banner