Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Listen TBC Live
      TBC Taifa
      TBC FM
Home Local General

Local General

Wakuu wa Wilaya Mwanza watakiwa kuzingatia hofu ya Mungu

Wakuu wa Wilaya Mwanza watakiwa kuzingatia hofu ya Mungu

Mkuu wa mkoa wa mwanza injinia Evarist Ndikilo amewaapisha wakuu wapya wa wilaya za mkoa huo na kuwataka watekeleze majukumu yao huku wakizingatia hofu ya Mungu.

Injinia Ndikilo amewaelekeza wakuu hao saba wa wilaya kuwa katika kutekeleza majukumu yao, utatuzi wa kero za wananchi na kujituma zaidi ndiyo kitakuwa kipimo cha ufanisi wao.

Majina ya wakuu hao wapya wa wilaya za mkoa wa mwanza ambao wamekula kiapo cha utii na utumishi wa umma tayari kuanza kazi ya kuwatumikia wananchi na wilaya zao katika mabano ni Amina Masenza (Ilemela), Karen Yunus (Sengerema), Seleman Mzee Seleman (Kwimba), Mary Tesha (Ukerewe), Jacqline Liana (Magu), Baraka Konisaga (Nyamagana) na Mariam Lugaila (Misungwi).

Estom Sanga, TBC Mwanza

Last Updated ( Thursday, 17 May 2012 12:54 )

 

Mwanri awaagiza madiwani kuwa wakali kusimamia matumizi fedha ya umma

Mwanri awaagiza madiwani kuwa wakali kusimamia matumizi fedha ya umma Naibu waziri wa nchi  ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI  Aggrey Mwanri amewaagiza madiwani nchini kuwa wakali  katika kusimamia matumizi ya pesa za halmasha...

Last Updated ( Thursday, 17 May 2012 12:48 )

Dk. Shein: Mfumuko wa bei za vyakula uko chini Zanzibar

Dk. Shein: Mfumuko wa bei za vyakula uko chini Zanzibar Rais  wa Zanzibar  na Mwenyekiti  wa  Baraza  la Mapinduzi  DR. Ali Mohamed Shein  amesema licha   yakuweko mfumko  m...

Last Updated ( Thursday, 17 May 2012 12:44 )

RC Dodoma awaasa wakuu wa wilaya kushirikiana na wananchi kutatua kero

RC Dodoma awaasa wakuu wa wilaya kushirikiana na wananchi kutatua kero  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi amewaapisha Wakuu saba wa wilaya mkoani kwake ikiwemo wilaya mpya ya Chemba na kuwataka wajitahidi kuonekana kwa wananch...

Last Updated ( Thursday, 17 May 2012 12:41 )

Medeye apiga marufku uwekezaji kinyemela

Medeye apiga marufku uwekezaji kinyemela Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Goodluck Medeye amepiga marufuku raia yeyote kutoka nje ya nchi kupewa ardhi ya kuwekeza bila ya idhini ya mkuu wa mk...

Last Updated ( Thursday, 17 May 2012 12:36 )

  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 12
Banner