Wachina kujenga majengo Udsm![]() Kampuni tatu za China leo zinaanza ujenzi wa majengo saba ya vitivo vya Sayansi na Teknolojia vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sehemu ya Mlimani, kwa gharama ya Sh bilioni 28. Ujenzi huo unafanyika chini ya mradi wa Benki ya Dunia uliotoa jumla ya Sh bilioni 65 kwa chuo hicho.&n... Read more |
Mali za Vigogo kuhakikiwaWaziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, ni miongoni mwa viongozi 60 watakaohakikiwa mali zao kuanzia Jumatatu. Kwa mujibu wa Sekretarieti ya maaduili ya Viongozi wa Umma, wengine watakaohakiiwa ni pamoja na wakurugenzi, wabunge, madiwani na makanda wa... Read more |
Usahili wa Kidato cha Kwanza Uharakishwe- KawambwaWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. SHUKURU KAWAMBWA amewaagiza maafisa elimu kote nchini kuharakisha kusambaza muongozo mpya wa wizara hiyo unaoagiza wakuu wa shule za sekondari nchini kuwafanyia usaili wanafunzi waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. ... Read more |
Fedha za UKIMWI Ziwafikie Walengwa- KandoroMkuu wa mkoa wa MBEYA ABBAS KANDORO amesikitishwa na taasisi, asasi na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ambayo yamekuwa yakipatiwa fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI lakini fedha hizo zinadaiwa haziwafikii walengwa. KANDORO ametoa kauli yake wakati wa mkutano wa wadau wa mapamban... Read more |
Viongozi Kilwa Wahimizwa Usimamizi Mzuri wa ArdhiMkuu wa wilaya ya Kilwa NURDIN BABU amewataka madiwani, wenyeviti wa serikali na watendaji wa vijiji kusimamia vizuru suala la ardhi katika maeneo yao ili kuhakikisha akina mama wajane na wenye ulemavu hawadhulumiwi ardhi BABU ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya kuwajeng... Read more |
Jaji Ramadhani Azungumza Kusimamishwa kazi kwa![]() Jaji Mkuu Mstaafu, AUGUSTINO RAMADHANI amesema ni jambo la kawaida hasa katika nchi za jumuiya ya madola kuunda jopo maalum kuchunguza majaji wanaotuhumiwa kwenda kinyume na taratibu za kinidhamu. Jaji RAMADHAN alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uamuzi wa serikali ya KENYA kumsimamisha kazi na k... Read more |
Kwa mujibu wa Sekretarieti ya maaduili ya Viongozi wa Umma, wengine watakaohakiiwa ni pamoja na wakurugenzi, wabunge, madiwani na makanda wa Polisi wa mikoa.&nbs...
Wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika mji wa Kano nchini Nigeria wameshambulia kituo cha Polisi katika mji huo zikiwa ni siku chache tangu kikundi hicho kilipofa...
Waziri wa Viwanda na Biashara DKT. CYRIL CHAMI ameiomba serikali ya SWEDEN kuendelea kuisaidia TANZANIA katika utekelezaji wa program ya kuendeleza biashara na kuwekez...
Habari kutoka nchini Papua New Guinea zinasema watu 40 wamekufa na wengine 20 hawajulikani walipo baada ya nchi hiyo kukumbwa na maporomoko makubwa ya udongo.
Kuna...
Timu ya TWIGA STARS imeibwaga timu ya wabunge kwa magoli mawili kwa moja katika mchezo uliofanyika uwanja wa KARUME JIJINI DSM.
Mchezo huo ulioandaliwa kwa lengo l...