Home About Tanzania Wachimbaji wadogo waiomba serikali kuwapa vifaa vya kisasa

Wachimbaji wadogo waiomba serikali kuwapa vifaa vya kisasa

Wachimbaji wadogo GeitaBaadhi ya wachimbaji wadogo katika kiijiji cha Nyaluyeye kata ya Nyarugusu wilaya na Mkoani Geita, wameiomba Serikali kuwasaidia vifaa vya uchimbaji madini vya kisasa ili kuongeza tija hali ambayo pia itasaidia serikali kujipatia mapato kutoka kwao.

Moja ya changamoto kuu inayowakabili wachimbaji wadogo ni ukosefu wa vifaa vya uchimbaji na hivyo kukosesha mapato ya kutosha kwa wachimbaji pamoja na Serikali.

Greyson Kakuru, TBC Geita.

Last Updated ( Friday, 13 July 2012 15:44 )  
Banner